Headmaster Ifunda Tech. alinusurika kifo kutoka kwa wanafunzi

Headmaster Ifunda Tech. alinusurika kifo kutoka kwa wanafunzi

Izi dini zinakoelekea zitafanya mambo mabaya ata zaidi ya haya binafsi naona Shule ziendelee ktk misingi ya shule na dini ibaki ktk misingi ya Dini. Dini yako isiwe ndio kitu cha kuhalalisha uvunjifu wa amani

Mwisho watahitaji kujengewa KIBLA kila darasa

 
Haya ni matokeo ya mafunzo yanayotolewa kwa vijana kwenye madrasa na misikiti mfano msikiti wa Mwenge mafunzo ya karate ya nini?

Watanzania walitaka raisi wakampata Kikwete
 
Haya ni matokeo ya mafunzo yanayotolewa kwa vijana kwenye madrasa na misikiti mfano msikiti wa Mwenge mafunzo ya karate ya nini?

Watanzania walitaka raisi wakampata Kikwete

Kuvaa Kininja ni Staili ya Magaidi halafu wanasisitiza eti Uislamu ni Amani.

 
Haya ni matokeo ya mafunzo yanayotolewa kwa vijana kwenye madrasa na misikiti mfano msikiti wa Mwenge mafunzo ya karate ya nini?

Watanzania walitaka raisi wakampata Kikwete

Hatutaki mambo ya ugalatia kutangaza uzinifu hadharani wa rais wa chadema !
 
Tatizo la ni malezi, hawa watoto wamepandikizwa roho za kuwa wanaonewa tangu wakiwa kwenye shule za watoto (madrasa) hivyo kubadili ama kuondoa hiki kizazi cha namna hii wabadilishe mfumo wa mafundisho yao kwa watoto wa madrasa. Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo, sio kosa lao ni kosa la mfumo wa malezi ya dini yao (Islamic).

Mlee mtoto katika njia ipasayo naye akikua hata mzee hataiicha daima.

Hapa kazi ipo

Tatizo lenu mnawapandikiza roho ya uongo na ufisadi watoto wenu 'ati mungu alipigwa akauawa mtini !'
 
Jambo la kushukuru mwalimu husija anaitwa Shaaban...,
 
Nawahurumia wadogo zangu ni matokeo ya mafundisho ya kina ilunga, ponda, mselem, kundecha, mazinge, kishk, radio imaana na mwamedi said.

Ombi:
hao watoto wafkishwe mahakaman na wakipatkna na hatia watupwe jela.. Ili iwe fundisho kwa wengne.
 
Ugaidi mbona wameuanza wakiwa watoto waadogo sana?
Eti hawa nao ni taifa la kesho. Kesho tutakuwa na taifa la ajabu sana[/QUOTE

hata huku kibaha mwanalugali sekondari wapo waliojiita alqaeda na alshababu watoto hawa ndio maana wanapata ziro
 
Mkwawa sekondari tulikuwa tunakatazwa hata kuvaa kofia za kawaida enzi za Headmaster Mbao na secondmaster Tende na hatukubisha,ila hawa wa sikuhizi balaa tupu wakifeli kosa la mama Ndalichako.

We mgalatia kwani kofia ndo zinajibu maswali !? Mama Ndalichako kafungua parokia pale !
 
Nadhani umefika wakati serikali itamke bayana kuwa katiba ya nchi inasemaje kuhusu dini. Katiba ya serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania inasmea kuwa serikali hiyo haina dini. Ina maana kwamba shughuli zote zinazohusu serikali hazifuati misingi ya dini yoyote ile. Hivyo basi itikadi, imani na viashiria vingine vya kidini kama mavazi, alama n.k visihusishwe kwenye shughuli zake. Kwa mantiki hiyo basi, ina maana kwamba katika shule zote ambazo ni za serikali, katiba ya Jamhuri ifuatwe. Kama wanafunzai wanavaa sare, ziwe ni sare ambazo hazihusishi dini. Kama kutakuwepo na jamii fulani ambayo inakerwa na jambo hilo, wako huru kabisa kuanzisha shule zao ambazo itikadi za jamii hiyo zitazingatiwa, ili mradi hawavunji sheria.

Tumemtumia Warioba !
 
Jk na ccm sitochoka kuwalalamikia ktk hili suala la udini ambalo hatukuwa nalo ktk awamu zilizopita.
 
Wanajamv mcseme ss haya n ya toka zaman m nimepiga kitabu Tosa,yalishatokea watu wakakatana mapanga,utambulisho ulikua majina,kisa mwanafunz aliingia na nyama ya kitimoto dining
 
Wengi hawaijui imani yao vizuri na wamekuwa wakifuata mkumbo tu. Ukitaka kuprove muulize muislam wa karibu yako asili ya uislam i mean, UISLAM ULIANZAJE? Kama hatakukasirikia basi atakwambia sijui ngoja nkaulize. Hapo ndio asili ya tatizo wengi ni mamluki. Wanachojua wao ni KAFIRI tu bila kujua hata maana ya hilo neno. Maana yake ni "MPINGAJI" kwa kuwa neno kafiri ni neno la Kiarabu. Sasa ukija kwenye uhalisia mpingaji ni nani? Ukristo ulikuwepo na miaka 400-500 baadae ukaja uislam. 0+0 = 00

Wewe Kafiri, Uislaam ulianza na Nabii Adam A.S, hata Yesu sio Mkiristo !
 
halafu utakuta mijiwanafunzi ya hivi ni vilaza wa kutupwa.

Vilaza kama wale wagalatia waliopewa picha ya mzungu wakaambiwa 'huyu ni mungu' .....pathetic people ! Mungu ananunuliwa dukani !
 
nimesoma highland kulikuwa na fujo na wahuni ila hatukufikia hatua hii ya kuvaa kofia haijawahitokea na shule ilikua ni ya kiislam hao watoto ni wahuni tu
 
Back
Top Bottom