Headmaster Ifunda Tech. alinusurika kifo kutoka kwa wanafunzi

Headmaster Ifunda Tech. alinusurika kifo kutoka kwa wanafunzi

nimesoma highland kulikuwa na fujo na wahuni ila hatukufikia hatua hii ya kuvaa kofia haijawahitokea na shule ilikua ni ya kiislam hao watoto ni wahuni tu
 
Nawahurumia wadogo zangu ni matokeo ya mafundisho ya kina ilunga, ponda, mselem, kundecha, mazinge, kishk, radio imaana na mwamedi said.

Ombi:
hao watoto wafkishwe mahakaman na wakipatkna na hatia watupwe jela.. Ili iwe fundisho kwa wengne.

Hayo ni mafundisho ya Askofu O'brien !
 
Kuna shule za kikristo na kiislamu!!! Aonaye anahitaji sana ku-practice dini yake aende kwenye mojawapo ya shule hizo....aliyefuata shule na abaki na kufuata shule!!

word! Your skills of articulation are so magnificent
 
Ndugu Ally Kombo, jitahidi kujenga hoja na si kujibu comment za wenzako kama taarabu, unapoteza hadhi ya Jf. Hatutafuti uwakala wa dini zetu humu!
 
Last edited by a moderator:
Misikiti imekuwa sio nyumba za ibada tena mashuleni bali sehemu za kupanga uovu, rejea, Bagamoyo sec, kibiti sec etc. Halafu wakifeli tuunde tume kujua kwa nini wamefeli, kweli hii ni nchi ya MAJUHA!
 
Ndo za kwao hizo, wanataka kusilimisha hata shule. Wanavunja sheria wakikatazwa wanakmbilia majambia. Jengeni za kwenu ili mfanye Ibada za majambia
 
Nadhani umefika wakati serikali itamke bayana kuwa katiba ya nchi inasemaje kuhusu dini. Katiba ya serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania inasmea kuwa serikali hiyo haina dini. Ina maana kwamba shughuli zote zinazohusu serikali hazifuati misingi ya dini yoyote ile. Hivyo basi itikadi, imani na viashiria vingine vya kidini kama mavazi, alama n.k visihusishwe kwenye shughuli zake. Kwa mantiki hiyo basi, ina maana kwamba katika shule zote ambazo ni za serikali, katiba ya Jamhuri ifuatwe. Kama wanafunzai wanavaa sare, ziwe ni sare ambazo hazihusishi dini. Kama kutakuwepo na jamii fulani ambayo inakerwa na jambo hilo, wako huru kabisa kuanzisha shule zao ambazo itikadi za jamii hiyo zitazingatiwa, ili mradi hawavunji sheria.

Sawa kabisa. Mi nimeona pale Korogwe TTC masista wa kanisani wanaingia darasani wakiwa na yunifomu ya Chuo, na majoho Yao wanafaa Siku ya J2 tu tena wanapokwenda kanisani, wakirudi tu wanarudi kwenye yunifomu
 
Ndo za kwao hizo, wanataka kusilimisha hata shule. Wanavunja sheria wakikatazwa wanakmbilia majambia. Jengeni za kwenu ili mfanye Ibada za majambia

Poa ! Na wewe endeleza ibada za kutoana mapepo aka mashetani !
 
Taarab anaimba Rose Mhando ! Vp utahuria tamasha la pasaka ? Sikuku kuu ya kuuliwa mungu !

Nyie wenyewe kwenu hakieleweki. Kama mnajiamini mbona mliposikia wanaume wanakwenda kufanya kazi mnalalamika, si mmezoea kuvua su..ali kwa wenzenu, changamkieni tenda hiyo muone, mtaf..... Na bado mtashughulikiwa tu
 
Ally Kombo Masikini unatoa povu kama m.b.w.a anayetaka kuzaa....

Jamani huyu mtu anaafutia watu ban na ana-divert mada kwa kuleta maneno ya kuudhi..Tumpuuze tuu huyu..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom