Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,650
Jambo la kushukuru mwalimu husija anaitwa Shaaban...,
Jina la kukariri hilo !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jambo la kushukuru mwalimu husija anaitwa Shaaban...,
Nawahurumia wadogo zangu ni matokeo ya mafundisho ya kina ilunga, ponda, mselem, kundecha, mazinge, kishk, radio imaana na mwamedi said.
Ombi:
hao watoto wafkishwe mahakaman na wakipatkna na hatia watupwe jela.. Ili iwe fundisho kwa wengne.
Kuna shule za kikristo na kiislamu!!! Aonaye anahitaji sana ku-practice dini yake aende kwenye mojawapo ya shule hizo....aliyefuata shule na abaki na kufuata shule!!
Hayo ni mafundisho ya Askofu O'brien !
Nadhani umefika wakati serikali itamke bayana kuwa katiba ya nchi inasemaje kuhusu dini. Katiba ya serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania inasmea kuwa serikali hiyo haina dini. Ina maana kwamba shughuli zote zinazohusu serikali hazifuati misingi ya dini yoyote ile. Hivyo basi itikadi, imani na viashiria vingine vya kidini kama mavazi, alama n.k visihusishwe kwenye shughuli zake. Kwa mantiki hiyo basi, ina maana kwamba katika shule zote ambazo ni za serikali, katiba ya Jamhuri ifuatwe. Kama wanafunzai wanavaa sare, ziwe ni sare ambazo hazihusishi dini. Kama kutakuwepo na jamii fulani ambayo inakerwa na jambo hilo, wako huru kabisa kuanzisha shule zao ambazo itikadi za jamii hiyo zitazingatiwa, ili mradi hawavunji sheria.
Ndugu Ally Kombo, jitahidi kujenga hoja na si kujibu comment za wenzako kama taarabu, unapoteza hadhi ya Jf. Hatutafuti uwakala wa dini zetu humu!
Kazoea mapambio huyo. Watu wa namna hiyo mods hatakiwi kuwapa nafasi humu jamvini
Ndo za kwao hizo, wanataka kusilimisha hata shule. Wanavunja sheria wakikatazwa wanakmbilia majambia. Jengeni za kwenu ili mfanye Ibada za majambia
stop being so melodramatic
Taarab anaimba Rose Mhando ! Vp utahuria tamasha la pasaka ? Sikuku kuu ya kuuliwa mungu !
Poa ! Na wewe endeleza ibada za kutoana mapepo aka mashetani !