Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 4,120
- 3,468
Izi dini zinakoelekea zitafanya mambo mabaya ata zaidi ya haya binafsi naona Shule ziendelee ktk misingi ya shule na dini ibaki ktk misingi ya Dini. Dini yako isiwe ndio kitu cha kuhalalisha uvunjifu wa amani
Haya ni matokeo ya mafunzo yanayotolewa kwa vijana kwenye madrasa na misikiti mfano msikiti wa Mwenge mafunzo ya karate ya nini?
Watanzania walitaka raisi wakampata Kikwete
Kuvaa Kininja ni Staili ya Magaidi halafu wanasisitiza eti Uislamu ni Amani.
Haya ni matokeo ya mafunzo yanayotolewa kwa vijana kwenye madrasa na misikiti mfano msikiti wa Mwenge mafunzo ya karate ya nini?
Watanzania walitaka raisi wakampata Kikwete
Mwisho watahitaji kujengewa KIBLA kila darasa
Tatizo la ni malezi, hawa watoto wamepandikizwa roho za kuwa wanaonewa tangu wakiwa kwenye shule za watoto (madrasa) hivyo kubadili ama kuondoa hiki kizazi cha namna hii wabadilishe mfumo wa mafundisho yao kwa watoto wa madrasa. Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo, sio kosa lao ni kosa la mfumo wa malezi ya dini yao (Islamic).
Mlee mtoto katika njia ipasayo naye akikua hata mzee hataiicha daima.
Hapa kazi ipo
ndio zitakosekana zero hapo? na hawa wenzetu mambo mengine ni us....e...,bado mntaka damu ya mtu mwingine...
Ugaidi mbona wameuanza wakiwa watoto waadogo sana?
Eti hawa nao ni taifa la kesho. Kesho tutakuwa na taifa la ajabu sana[/QUOTE
hata huku kibaha mwanalugali sekondari wapo waliojiita alqaeda na alshababu watoto hawa ndio maana wanapata ziro
Mkwawa sekondari tulikuwa tunakatazwa hata kuvaa kofia za kawaida enzi za Headmaster Mbao na secondmaster Tende na hatukubisha,ila hawa wa sikuhizi balaa tupu wakifeli kosa la mama Ndalichako.
Nadhani umefika wakati serikali itamke bayana kuwa katiba ya nchi inasemaje kuhusu dini. Katiba ya serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania inasmea kuwa serikali hiyo haina dini. Ina maana kwamba shughuli zote zinazohusu serikali hazifuati misingi ya dini yoyote ile. Hivyo basi itikadi, imani na viashiria vingine vya kidini kama mavazi, alama n.k visihusishwe kwenye shughuli zake. Kwa mantiki hiyo basi, ina maana kwamba katika shule zote ambazo ni za serikali, katiba ya Jamhuri ifuatwe. Kama wanafunzai wanavaa sare, ziwe ni sare ambazo hazihusishi dini. Kama kutakuwepo na jamii fulani ambayo inakerwa na jambo hilo, wako huru kabisa kuanzisha shule zao ambazo itikadi za jamii hiyo zitazingatiwa, ili mradi hawavunji sheria.
Unajua!? siku hizi watumishi wa ibilisi shetani wanajifanya ni wanadini. Watumishi wa Yehova yaani walokole hawavunji sheria.
Wakiandamana wakamatwe na kufungwa jera hakuna msamaha kwa hlo.
Wengi hawaijui imani yao vizuri na wamekuwa wakifuata mkumbo tu. Ukitaka kuprove muulize muislam wa karibu yako asili ya uislam i mean, UISLAM ULIANZAJE? Kama hatakukasirikia basi atakwambia sijui ngoja nkaulize. Hapo ndio asili ya tatizo wengi ni mamluki. Wanachojua wao ni KAFIRI tu bila kujua hata maana ya hilo neno. Maana yake ni "MPINGAJI" kwa kuwa neno kafiri ni neno la Kiarabu. Sasa ukija kwenye uhalisia mpingaji ni nani? Ukristo ulikuwepo na miaka 400-500 baadae ukaja uislam. 0+0 = 00
halafu utakuta mijiwanafunzi ya hivi ni vilaza wa kutupwa.