Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe na dada Joannah itakuwa mna madeni lukuki 😂Madeni himilivu mkuu🤣🤣
Points zingine tumezipitisha mkuu, ila hii ya kudaiwa naona haikukaa sawa. Ila asante kwamba umetuelewa.Wewe na dada Joannah itakuwa mna madeni lukuki 😂
Mbona pointi nyingine zipo kama
-land alienation
-early marriage
-poor infrastructure.
Lakini mmeiganda ya madeni 😂
Nmewaelewa sana ngoja nikakope 😂Points zingine tumezipitisha mkuu, ila hii ya kudaiwa naona haikukaa sawa. Ila asante kwamba umetuelewa.
Hahaha..................Mzee mwenzangu huyo Mjukuu, binafsi simuweziBinafsi nakopa kwa kujiamini kabisa, najua serikali yangu itanilipia niki-default🤣🤣🤣
Imekuwaje nakuwa shem wako? Ni huyu mzee mwenzangu Grahams au ni yule kijana @glenn? 🤣🤣 sikubali
Heri ya mwaka mpya mkuu, ukawe mwaka wenye baraka tele kwako na watu wa nyumba yako.🍻Hahaha..................Mzee mwenzangu huyo Mjukuu, binafsi simuwezi
Tangu nimeingia Mwaka 2025 nahisi hata nguvu za kwenda safari moja Kwa Mwaka nadhani nitakosa
Itakuwa ni kumtesa Mjukuu kufanya kazi ya kuimba na maiki pasipo mnala wa Babeli kusimama 😜
Heri ya Mwaka Mpya 2025 Mkuu 🥂
Shukrani sana Mkuu, ukibarikiwa na Mzee kama hivi, baraka zinaenda moja kwa moja Kwa mlengwa.Heri ya mwaka mpya mkuu, ukawe mwaka wenye baraka tele kwako na watu wa nyumba yako.🍻
🤣🤣🤣Amina mkuu!Shukrani sana Mkuu, ukibarikiwa na Mzee kama hivi, baraka zinaenda moja kwa moja Kwa mlengwa.
Nami nakutakia Kila la heri Mzee mwenzangu, huu Mwaka usiishe bila kumzawadia Mjukuu wetu Atoto ile zawadi uliyomuhaidi mbele yangu Babu yake 🤗
Mungu atupe afya na maisha marefu Mkuu 🙏🙏
Babu huyo tapeli hawezi timiza ahadi yoyote. Ni kama mlizaliwa baba mmoja, mama mmoja🙆♂️🙆♂️🙆♂️Shukrani sana Mkuu, ukibarikiwa na Mzee kama hivi, baraka zinaenda moja kwa moja Kwa mlengwa.
Nami nakutakia Kila la heri Mzee mwenzangu, huu Mwaka usiishe bila kumzawadia Mjukuu wetu Atoto ile zawadi uliyomuhaidi mbele yangu Babu yake 🤗
Mungu atupe afya na maisha marefu Mkuu 🙏🙏
Usijitoe ufahamu mkuu!Kiaje?
Mweeeeeh!! Unsnionea sana ujue!!Usijitoe ufahamu mkuu!
Wazee hatuna hiyo sifa ya Utapeli, katika Wazee ambao tumekuwa tunatimiza ahadi zetu Kwa wakati ni Mimi na Mzee mwenzangu ERoni tuBabu huyo tapeli hawezi timiza ahadi yoyote. Ni kama mlizaliwa baba mmoja, mama mmoja🙆♂️🙆♂️🙆♂️
kua na Bima ya afya ni mbinu muhimu na namna mojawapo ya kutunza na kujali afya na maisha yako.Kufanya makosa ndio kujifunza, Sasa nadhani humu Kuna wataalamu wa afya lakini pia Kuna watu wana uelewa mkubwa kuhusu masuala ya afya
Nina uliza ninawezaje kutunza afya yangu ya mwili na akili
Naombeni tips niishi nazo 2025
Hahaha.........ameanzaje Mwaka?🤣🤣🤣Amina mkuu!
Atoto ameanza mwaka kivingine🤔
Mweeeeh! Babu hebu niache!Wazee hatuna hiyo sifa ya Utapeli, katika Wazee ambao tumekuwa tunatimiza ahadi zetu Kwa wakati ni Mimi na Mzee mwenzangu ERoni tu
Tukihaidi tunatimiza
Ni kama ahadi za CCM tu 🤗
View attachment 3193990