"Ingawa mioyo yetu inapitia maporomoko. πβ‘οΈβ€οΈ [" #UpendoWetuNiMuhimu"] , Lakini Kuna Siku ambazo moyo unahisi uzito wa yale yote unayo yapitia katika maisha, iwe katika utafutaji wa kifedha, misukosuko ya kimapenzi au kifamilia, kumcha mungu katika ibada. [ #SikuKwaSikuJourney ]
β’ Je, wewe umepitia vipindi gani vya kujifunza,? Leo nimeona tufarijiane kupitia Nyimbo mbali mbali, iwe kwa ajili ya mwana JF mwenzako, Kakaako, Wazazi wako , Dadaako, Mpenzi wako au Ndugu wa karibu. Muandikie nyimbo yoyote ile , unayoona inafaa kwa mtu aliyekumbwa na maporomoko ya moyo, hata kama na wewe upo au ukiwa kwenye maporomoko ya moyo tuambie ni nyimbo gani huwa Unapenda kuisikiliza.
------Nyimbo zangu Pendwa kabisa kwangu nikiwa kwenye maporomoko ya moyo :-
β’ "Someone You Loved" - Lewis Capaldi : Kwa maudhui ya heartbreak na upotezaji wa mapenzi.
β’ "Fix You" - Coldplay : Kwa faraja na matumaini ya kupona.
β’ "Everybody Hurts" - R.E.M : Kwa kutoa faraja wakati wa kipindi kigumu.
β’ "Hurt" - Johnny Cash : Kwa huzuni na mawazo juu ya maisha.
β’ "Tulia" - Darassa ft. Marioo : Kwa mtazamo wa kutulia na kusonga mbele.
Ni wimbo gani ungeweza kupendekeza kwa mtu mwenye maumivu ya moyo mapya?