Heaven on earth avamiwa na kujeruhiwa vibaya

Get well soon my dear friend!
Upone haraka..hii news imenishtua sana, ni jana tu hapa jamvini tulikuwa tunazungumzia maswala ya vibaka.
And its happen dah vibaka wabaya sana! Pole sana rafiki yetu.
 
Pole sana dada yangu Heaven on Earth kwa kadhia hiyo iliokukuta.. Mie na wifi yako Paloma tunamuomba Mungu akusaidie upate ahueni na kurudi tena kwenye shughuli za kujenga nchi..

Ninategemea Polisi na vyombo vya dola vitafanya uchunguzi na kuwakamata wote waliohusika na kuwafikisha kwenye mikono ya sheria..
 
Last edited by a moderator:
kha!!! never mess with mzabzab...jana alitoa a very cynical comment sasa imekula kwake hahahahahah
 
Pole sana Heaven on Health, Mungu atakuponya


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…