Heaven on earth avamiwa na kujeruhiwa vibaya

Ni vibaka tu au? Maana kuna siku alizinguana na mtu humu na yule jamaa akamwambia anamjua na hadi chuo na kozi aliyosoma pale udsm. Tuanze kumuhoji huyo member kwanza
 
Mtoa habari hebu eleza vyema ilikuwaje. Tukio limetokea wapi na kama hao wavamizi wamechukua kitu isije ikawa ni tukio la kulipana visasi..

Get well soon Heaven on Earth.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana dad yangu Heaven on Earth
 
Mungu ampe nafuu haraka na afya yake iimarike inshaAllah maana yy ni mskivu get well soon Heavenonhearth
 
Last edited by a moderator:

Soso yesterday we were talking about vibaka here!
mimi, wife wangu shansarie na Heaven on Earth afu ndiyo leo tunazisikia hizi habari..
shocked sana!
Mungu amponye haraka..
 
Last edited by a moderator:
Ni vibaka tu au? Maana kuna siku alizinguana na mtu humu na yule jamaa akamwambia anamjua na hadi chuo na kozi aliyosoma pale udsm. Tuanze kumuhoji huyo member kwanza

Naikumbuka hyo siku. The guy alionekana kuwa amemkasirikia sana jinsi ambavyo alivyokuwa anaandika. Nami nimewaza sana kuhusu aliyokuwa anamwambia na kilichotokea. Sitaki kusema kuwa upo uhusiano wa moja kwa moja ila lazma nijiulize. Mungu ampe uponyaji my sweet friend Heaven on Earth
 
Last edited by a moderator:
Huwa inanichukua muda kuamini kitu kama hichi.......Naifanyia uchunguzi hii taaarifa! Naona kama haijajitosheleza (my opinion)
CC Mentor
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…