Heaven on earth avamiwa na kujeruhiwa vibaya

Heaven on earth avamiwa na kujeruhiwa vibaya

mungu amponye na kumpa nguvu/ujasil katika kipindi hiki kigumu.mpe pole sana kwa niaba yetu wote.
 
Ndugu Jamaa na Marafiki.

Nasikitika kutoa taarifa juu ya madhira aliyokutana nayo dada na ndugu yetu HEAVEN ON EARTH jana usiku.
Akiwa anaelekea nyumbani kwake jana usiku alivamiwa na vibaka/majambazi na kumjeruhi vibaya sana.

Toka alipopatwa na madhira hayo mpaka mchana huu bado hawajeza kuongea, naomba tushirikiane kumuombea ili matibabu anayopata yaweze kumrejeshea nguvu na afya yake.

Nitakapopata taarifa za ziada nitawajuza.
Poleni sana, ingawa hatutakiwi kujuana hapa JF ni vyema wakati mwingine kama mtu akipatwa na madhira kama haya, ajitokeze na baada ya haya majanga abadili identity. Binafsi ningependa nije huko Bongo nimjulie hali maana anachangamsha JF na ni haki yake kujuliwa hali. Nadhani nitapata nauli kutoka kwa mama sukari wangu miss chagga
 
Mpendwa wetu Heaven on Earth, kwa niaba ya familia yangu, mimi Excel na mke wangu Passion Lady.. Naomba nichukue nafasi hii kukupa pole kwa matatizo yaliyokupata..

Mpendwa Heaven on Earth, kila kitu kimepangwa duniani hapa, leo kwako kesho kwangu ama mke wangu Passion Lady, matatizo hayana mwenyewe mpendwa wetu!

USIJISIKIE MPWEKE HUKO ULIKO, AMANI YA BWANA IWE NAWE, AKUTIE NGUVU NA MIBARAKA, UPONE MAPEMA! AMEN!
 
Last edited by a moderator:
Dah so sad, I have feelings kuna mtu/watu wabaya wamefanya hili na sio vibaka/majambazi.
 
Mimi nipo dar, naomba kumsaidia dada HOE, sijui nitamfikishiaje msaada wangu, naomba munielekeze jinsi ya kumsaidia , nimeguswa sana kwa kweli
 
Back
Top Bottom