Heaven on earth avamiwa na kujeruhiwa vibaya

Heaven on earth avamiwa na kujeruhiwa vibaya

Wafukunyuku maarufu wa nyuzi za kale watufukunyulie huo uzi tupate pa kuanzia!

Ilikuwa ni kwenye thread ya Yericko Nyerere kuhusu kesi ya ZZK siku ile ya Ijumaa. Sikumbuki ilikuwa page namba ngapi.
 
like can show appreciation/recognize the worthy of the message/post or mleta post....haimaanishi lazima iwe kuufurahia ujumbe/tukio ... kwa mfano ckuwa najua hii habari lakini kuna mtu kani cc,so natambua mchango wake kunihabarisha..

Baelezee maana ye ndo kakrem maana moja tu ya like
 
Ndugu Jamaa na Marafiki.

Nasikitika kutoa taarifa juu ya madhira aliyokutana nayo dada na ndugu yetu HEAVEN ON EARTH jana usiku.
Akiwa anaelekea nyumbani kwake jana usiku alivamiwa na vibaka/majambazi na kumjeruhi vibaya sana.

Toka alipopatwa na madhira hayo mpaka mchana huu bado hawajeza kuongea, naomba tushirikiane kumuombea ili matibabu anayopata yaweze kumrejeshea nguvu na afya yake.

Nitakapopata taarifa za ziada nitawajuza.

Aiseee! Pole sana, ila mtuwekee na picha kama itawezekana.
 
My very dada!!!!!!
Mungu akupe ahueni ya haraka!!!!!

Danh sad one,ni kisasi,kukomoana au just "vibaka"!!!!!????
 
Back
Top Bottom