Heaven on earth avamiwa na kujeruhiwa vibaya

Heaven on earth avamiwa na kujeruhiwa vibaya

Babe.....HOE,,,,get well soon......Mola akutangulie ktk kipindi hiki.....

asante kwa taarifa mkuu....
 
Pole sana dada angu"alafu huu mwaka uliamua kuingia jukwaa la siasa na niliona vifaranga wa cdm wanakuzingua zingua"
 
Pole sana Heaven on Earth, ubarikiwe na bwana ili upone haraka. Huna budi kuwaombea kwa Mungu baba wale wote waliokusababishia maumivu hayo ya mwili ili awasamehe kwani hawalijui walitendalo!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom