Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,467
- 13,026
Nalea ndoa bwanaaa
Waaacha!, Niiiiice!
Shemeji must be in Heaven, sio kwa hii Full Attention!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nalea ndoa bwanaaa
Hahahaha...nipo tukuyu nakula makatapela
Hahahaaaa! HalelujahWaaacha!, Niiiiice!
Shemeji must be in Heaven, sio kwa hii Full Attention!
I miss youmbiti; tupogoooooo. Umemissika kweli
Aww raha ilioje, za masiku mpendwa?I miss you
Aminaaaa! 😀
Nzuri sana mrembo wetu, hivi ulienda wapi eti?Aww raha ilioje, za masiku mpendwa?
Nilikuwepo, majukumu tu kidogo, ila nimerudiB. Ix! B huh hmm Kyi +sosok. G hi HGVNzuri sana mrembo wetu, hivi ulienda wapi eti?
Afadhali na karibu sana maana wewe unachukua nafasi ya watu 20 hapa jfNilikuwepo, majukumu tu kidogo, ila nimerudi
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Afadhali na karibu sana maana wewe unachukua nafasi ya watu 20 hapa jf
Mwee!itupie hapa mamy!naudhika na weather hii lips znakuja ngumu!arghhh naaply vaseline wapiii!arghhh
Pole aiseh!Baridi inaninyanyapaa sana. Nina dalili zote za kuwa oni ze rodi wiki lijalo
Bado,ila baada ya kama wiki2 ama 3 narejeaUsiniambie bado upo kule!
Kwa lips, jaribu Vaseline and Sugar lip scrub.
Ukiweka Vaseline, ongezea na sukari halafu sugua pamoja kwenye lips.
Zinakuwa sooft. Ni scrub nzuri hata kwenye mikono, inakuwa sooft!
Na hivi sasa Shem anapata 110% attention?!!...Ngoja ninyamaze tyuu! 😀
Sema Lips za Ninja!!Hahaa asante sana mamy..katka kitu nachovutiwa nacho ni lips zangu..sasa zinakaukaaaaaa kama za kangI lugola bwana..ntafanya baadaye .