Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Heaven on earth ukiona hivyo ujue ameanza kukufitini kwa kaka yake, ooooh unajua mwanamke gani huyu anakunyonya tu damu na mali, hatuoni matunda yoyote, kama vipi achana naye bana kuna wanawake kibao tu wenye uzazi wao; hahahahaha wewe si unajua habari za ma-wifi; hawana urafiki wala uadui wa kudumu; uongo au ukweli bibie Lady doctor
huyu wifi wangu ni watofauti aiseee.............. Lady doctor kwangu ni zaid ya wifi
sitaki maneno yako mie...........
Afanaleki, kufa hakuna breki!!!!
hahahaaa wewe Mokoyo wewe umeanza fitna sasa ujue mimi na Heaven on earth tumetoka mbali tangu tukiwa chekechea hatujakutana uwifini tu
umeonaee, anataka kutufitinisha huyu.
mwambie huyo Mokoyo.........,na uchinganishi wake umuishe
ashindwe na alegee kwa majina ya mahasbendi wetu...........,
hahahahahaha I like this comment, hahahahahaha balaa tuuputena akome, tutamvalisha bikini mchana kweupee
hahahahahaha I like this comment, hahahahahaha balaa tuupu
:tape::tape:hahahaaa... Babu wewe hupitwi
:rip::rip:
:ban::ban:ashindwe na alegee kwa majina ya mahasbendi wetu...........,
:Cry::Cry:tena akome, tutamvalisha bikini mchana kweupee
:A S-fire1::A S-fire1:ye anataka damu moto ya baridi ina mtetemesha
:tape::tape:
:rip::rip:
:ban::ban:
:Cry::Cry:
:A S-fire1::A S-fire1:
Naomba umwambie Heaven on earth namtafuta eti.Mwambie anachonifanyia si kitu kizuri.niaje bab' ninazawadi ya ugolo kwa ajili yako
Naomba umwambie Heaven on earth namtafuta eti.Mwambie anachonifanyia si kitu kizuri.
Mwambie mi ntaendelea kumpenda tu, liwalo na liwe.
Naomba umwambie Heaven on earth namtafuta eti.Mwambie anachonifanyia si kitu kizuri.
Mwambie mi ntaendelea kumpenda tu, liwalo na liwe.
kwanini umemwambia Lady doctor !!!!!!!!!!!!!hujui kuwa kaka ake ndo ananiweka mjini!!!!!!!!!!
akisusa utafanya hiyo kazi wewe!!!!!!!!!!!
kaka kitu gani, hebu na wewe tulia mi nitengeneze bingo.... Mjini hapa oohoooh!!!!!!!
ndo gia yako kwake hyo..!!??