Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

Haya, mmoja wao ni Prof. Magori! Alikuwa akimwaga mashule pale Muhi2 ya Anatomy very relaxed!
Magori navyojua alikuwa FAT (siku hizi TFF) na baadaye NSSF. Huko Muhi2 kafikaje
 
[emoji23][emoji23][emoji23] huyu mzee alikuwa hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Prof. Cassian Magori, Anatomy alikuwa anafundisha mpaka raha, Muhi2 enzi hizooo!
Hivi jamani kuna watu wa Muhimbili humu? Ndio maana corona haiishi!
Hebu kafanyeni kazi za maana mambo ya humu tuachieni sisi mangwini!
 
Prof. Maghway wa UDSM. Huyu mzee aikuwa anatisha sana kwenye Linguistics. Pia Prof. Saida Othman

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Prof JB Maghway hata mimi naafiki, ni kichwa tofauti sana kile.

Niwape historia kidogo: alipitia formation za kutaka kuwa padre akasoma hadi zile philosophy na theology akaachia ngazi ya juu sana siku chache kabla ya ordination. Hata Simon Sirro (IGP) yalimkuta hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…