kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,105
Omary Mwaluyanile
Mzumbe university
Mzumbe university
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna yule Allute Mghwai Lissu kaka yake Tundu Lissu. Hawa jamaa bila shaka walikuwa wako vizuri sana shuleni.Ndugu wa Lissu wa Ubeligiji au?
HahahaOngeza mama muzanila na malisa wa biochemistry, mugasha wa soil chemistry na nsolomo wa forest ecology ila munishi sikuwahi kumulewaga kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee hiyo "mineroloji endi kristalografi" inabidi utulie kuitamka.
UDOM mabanda ni kawaida. Degree za kupewa zile
Kweli, so nyie wote mmesomeshwa na maprofesa, eehee, huku jf ndo mnaanzisha viwanda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utasikia "najua mmechoka lakini vumilieni tu wanangu" hapo nusu ya darasa inasinzia 😂😂Pereka alikuwa anapiga lecture hadi anatokwa jasho... Namkumbuka kwenye topic ya endocrinology
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahaha huyo nkobogo jurisprudence imemfanya kawa kama....Prof. Cyriacus Binamungu
Mr. January Nkogobo
Mzumbeni.
Magori navyojua alikuwa FAT (siku hizi TFF) na baadaye NSSF. Huko Muhi2 kafikajeHaya, mmoja wao ni Prof. Magori! Alikuwa akimwaga mashule pale Muhi2 ya Anatomy very relaxed!
My Son, not every Magori is Crescentius Magori, there is Joseph Magori and the like!!Magori navyojua alikuwa FAT (siku hizi TFF) na baadaye NSSF. Huko Muhi2 kafikaje
[emoji23][emoji23][emoji23] huyu mzee alikuwa hatariKwa wale tuliosoma SUA kozi za hesabu kuna mhadhiri mmoja alikuwa anaitwa SEMBUCHE ,aisee sitakaa nimsahau yule babu !kwanza ,mfupi ,ana chechemea kama ana kilema ,sauti nzito kama kafunga sub woofer,akiwa anafundisha shati aanfingua vishikizo na hakuwa anavaa singled hahahaahhaa..aisee kituko chake kimoja ni anafundisha huku anafuta anachokiandika yani mpaka somo linaisha ubao msafi utafikiri hakukuwa na somo...mara ya mwisho anafundisha alikamata wanafunzi 800 mpaka chuo kikaamua kimuombe asitaafu !!..sijui yuko wapi yule babu,aisee ..ila alikuwa anajua hesabu utafikir aliitunga yeye....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi jamani kuna watu wa Muhimbili humu? Ndio maana corona haiishi!Prof. Cassian Magori, Anatomy alikuwa anafundisha mpaka raha, Muhi2 enzi hizooo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Prof Lugumamu mzee wa misifa anasema ukiliona garo lake limepako manzese poga simu polisi limeibiwa au limetekwa maana yeye hans Cha kufuaya manzese
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Prof JB Maghway hata mimi naafiki, ni kichwa tofauti sana kile.Prof. Maghway wa UDSM. Huyu mzee aikuwa anatisha sana kwenye Linguistics. Pia Prof. Saida Othman
Sent using Jamii Forums mobile app