Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

Attachments

  • Screenshot_20200312-155445_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20200312-155445_WhatsApp.jpg
    56.7 KB · Views: 4
Kwa wale tuliosoma SUA kozi za hesabu kuna mhadhiri mmoja alikuwa anaitwa SEMBUCHE ,aisee sitakaa nimsahau yule babu !kwanza ,mfupi ,ana chechemea kama ana kilema ,sauti nzito kama kafunga sub woofer,akiwa anafundisha shati aanfingua vishikizo na hakuwa anavaa singled hahahaahhaa..aisee kituko chake kimoja ni anafundisha huku anafuta anachokiandika yani mpaka somo linaisha ubao msafi utafikiri hakukuwa na somo...mara ya mwisho anafundisha alikamata wanafunzi 800 mpaka chuo kikaamua kimuombe asitaafu !!..sijui yuko wapi yule babu,aisee ..ila alikuwa anajua hesabu utafikir aliitunga yeye....

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] huyu mzee alikuwa hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Prof. Cassian Magori, Anatomy alikuwa anafundisha mpaka raha, Muhi2 enzi hizooo!
Hivi jamani kuna watu wa Muhimbili humu? Ndio maana corona haiishi!
Hebu kafanyeni kazi za maana mambo ya humu tuachieni sisi mangwini!
 
Prof. Maghway wa UDSM. Huyu mzee aikuwa anatisha sana kwenye Linguistics. Pia Prof. Saida Othman

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Prof JB Maghway hata mimi naafiki, ni kichwa tofauti sana kile.

Niwape historia kidogo: alipitia formation za kutaka kuwa padre akasoma hadi zile philosophy na theology akaachia ngazi ya juu sana siku chache kabla ya ordination. Hata Simon Sirro (IGP) yalimkuta hayo.
 
Back
Top Bottom