Anatory muhayaaaaa. Nasikia siku hizi wako wote na Mvuma MUST.Prof Anatory,Prof Mvuma.
Umenikumbusha Prof. Mutayoba alivyokua akijisia kuwa kitanda chake kina bahati sana maana kinabeba degree 8 kwa pamoja..Mkewake ni mtu poa sana Hadi naomdoka UDSM Alikuwa Associate Professor department of Zoology!!! Nae anaitwa Prof Rugumamu
Typed Using KIDOLE
Manya alipelekwa madini.Dr Boniface Nelson
Prof.shukran Manya
Prof Nkotangu wa hydrogeology
Dr meshack Kagya
Wote udsm
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule Prof aliekuwa anaendesha baiskeli ni nani jina lake?Prof. Tarimo, Dept. (DEST) amenifundisha design of irrigation systems, irrigation water management na irrigation structures.
Prof. Mahoo, Dept. (DEST) amenifundisha rain water harvesting, design of retention and small reservoir dams pamoja na drainage.
Prof. Kahimba, Dept. (DEST) amenifundisha analysis and design of farm structures.
Eng. Stanislaus Materu, Dept. (DEST) amenifundisha engineering drawing na fluid dynamics.
Wote hawa wanapatikana pale SUA, kwa kweli wanajitoa sana katika kufundisha, naweza kusema wameacha alama kubwa sana katika maisha yangu ya taaluma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo wote hapo ni Wahaya.Ila Tuseme ukweli nimejaribu kuona majina yamayotajwa humu ya mabest maprofessor.
Mbona majina mengi ni ya kihaya na yenye asili ya bukoba?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajimwambafai sanaa,mimi nimesoma UDOM mbona na nipo humu ndaniii.Wengi pia wamoo humu wa vyuo vingine labda wanaona uvivu Ku comment tuu,acha hizooo bna
Mdoe yuko Wizarani siku hizi, naye kaulamba.Dr James Mdoe now Prof.
Dr Mgina
Dr Mdachi
Prof Muhinzi
Dr Gamba
Dr Nyundo(sitakusahau kwa kuleta pepa Tofauti Tofauti wakati wa Test) Ila Mwamba ulikuwa unajua hasaa
Typed Using KIDOLE
Nenda na wewe kachukue kama rahisi,Walimu wote asilimia kubwa UDOM wametoka UDSM,we bwana achaga upuuzi wa kuandika chochote unachojisikia kwa kivuli cha JF,kuwa msomi mpuuzi wewe.We hujui degree watu wanavyopata kwa shida huko UDOM mpaka watu wanakesha L room afu mtu unakuja na upuuzi humu.Heshimu watu asee.Hivi ukikaa huko nawe utajiita Great Thinker???? Dahh Mjinga sana wewe jamaa.UDOM mabanda ni kawaida. Degree za kupewa zile
Kumbe wewe ni wanafunzi wa Edward Mchagga!Chuwa, Taisamo, Dr.Twalib Fauz, Prof. Majamba, Judge Ruhangisa, Judge Mchome few to mention...
Hivi January bado yuko Mzumbe ?Prof. Cyriacus Binamungu
Mr. January Nkogobo
Mzumbeni.
Makene anatisha wapi wakati lofa anatoa Capitulo na kufanya elimu ya chuo kuwa ngumu,bora huyo Maheda ingawa hajawah nifundisha ila nilikuwa namuona tu,sema jamaa bonge sana ha ha ha.Dr. Daniel MAEDA Molecular biology UDSM anajua sana ila mitihani yake dah na rafiki yake Dr.Makene wanatisha sana
Dr Longopa Faculty of Law now nasikia kawa Naibu AG
Nimeacha ChiefAcha kuleta utani na majina ya maboss wako ebo!
Hatari Sana.wali mfrastrate mno.kuna siku nilikutana naye hapo maeneo ya Court of Appeals to daa! Alikuwa amenyongonyea Sana!Hadi jamaa yangu akakimbilia bondeni, huwaga analalamika sana kuhusu zile mambo alifanyiwa.
Mie namkubali Prof Rajiv Gupta wa London school of economy LSE, Prof Underson Strickland wa Harvard University, Ni vichwa sana kwakweliKutoka shule ya Biashara UDSM pale UDBS
Dr. Muhsin Masoud
Prof.Ulingeta Mbamba
Dr. Kesi
Dr. Marcelina Chijoriga
Dr. Mbura
Dr.Goodluck
Dr. Dev jan
Kati ya hao Nani alikuwa mgawa maksi za chupi?Prof Kaswamila
Dr killatu
Dr Prosper
Dr Kissanga
Dr Ndibalema
[emoji8][emoji8][emoji8] UDOM HIYOOO
Sent using Jamii Forums mobile app
Umetisha MkuuMie namkubali Prof Rajiv Gupta wa London school of economy LSE, Prof Underson Strickland wa Harvard University, Ni vichwa sana kwakweli