Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

Mkewake ni mtu poa sana Hadi naomdoka UDSM Alikuwa Associate Professor department of Zoology!!! Nae anaitwa Prof Rugumamu

Typed Using KIDOLE
Umenikumbusha Prof. Mutayoba alivyokua akijisia kuwa kitanda chake kina bahati sana maana kinabeba degree 8 kwa pamoja..

Hapo akimaanisha Yeye na mke wake, maana wote ni Ma proffesa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Prof. Tarimo, Dept. (DEST) amenifundisha design of irrigation systems, irrigation water management na irrigation structures.
Prof. Mahoo, Dept. (DEST) amenifundisha rain water harvesting, design of retention and small reservoir dams pamoja na drainage.
Prof. Kahimba, Dept. (DEST) amenifundisha analysis and design of farm structures.
Eng. Stanislaus Materu, Dept. (DEST) amenifundisha engineering drawing na fluid dynamics.

Wote hawa wanapatikana pale SUA, kwa kweli wanajitoa sana katika kufundisha, naweza kusema wameacha alama kubwa sana katika maisha yangu ya taaluma.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yule Prof aliekuwa anaendesha baiskeli ni nani jina lake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dr James Mdoe now Prof.
Dr Mgina
Dr Mdachi
Prof Muhinzi
Dr Gamba
Dr Nyundo(sitakusahau kwa kuleta pepa Tofauti Tofauti wakati wa Test) Ila Mwamba ulikuwa unajua hasaa


Typed Using KIDOLE
Mdoe yuko Wizarani siku hizi, naye kaulamba.
 
UDOM mabanda ni kawaida. Degree za kupewa zile
Nenda na wewe kachukue kama rahisi,Walimu wote asilimia kubwa UDOM wametoka UDSM,we bwana achaga upuuzi wa kuandika chochote unachojisikia kwa kivuli cha JF,kuwa msomi mpuuzi wewe.We hujui degree watu wanavyopata kwa shida huko UDOM mpaka watu wanakesha L room afu mtu unakuja na upuuzi humu.Heshimu watu asee.Hivi ukikaa huko nawe utajiita Great Thinker???? Dahh Mjinga sana wewe jamaa.
 
Kutoka shule ya Biashara UDSM pale UDBS
Dr. Muhsin Masoud
Prof.Ulingeta Mbamba
Dr. Kesi
Dr. Marcelina Chijoriga
Dr. Mbura
Dr.Goodluck
Dr. Dev jan
 
Dr. Daniel MAEDA Molecular biology UDSM anajua sana ila mitihani yake dah na rafiki yake Dr.Makene wanatisha sana
Makene anatisha wapi wakati lofa anatoa Capitulo na kufanya elimu ya chuo kuwa ngumu,bora huyo Maheda ingawa hajawah nifundisha ila nilikuwa namuona tu,sema jamaa bonge sana ha ha ha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumauliza alipo Prof.Kabudi tumpelekee matunda,au ugonjwa wake unakatazwa kutembelewa?
 
Kutoka shule ya Biashara UDSM pale UDBS
Dr. Muhsin Masoud
Prof.Ulingeta Mbamba
Dr. Kesi
Dr. Marcelina Chijoriga
Dr. Mbura
Dr.Goodluck
Dr. Dev jan
Mie namkubali Prof Rajiv Gupta wa London school of economy LSE, Prof Underson Strickland wa Harvard University, Ni vichwa sana kwakweli
 
Back
Top Bottom