Hivi muddy alisoma MIT?Prof muddy physics kutoka Massachusetts School of technology (MIT)
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtaje mwalimu mkuu wako haina shida.tulioishia la saba nadhani sio mahala pake,endeleeni kututenga&karibuni mtaani[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa marekebishoDr. Leonard Chamuriho, ni Katibu Mkuu wa Sekta ya Uchukuzi- Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.
Dr. MSAMBWA popote ulipo chukua tano yangu hii....
Hutakagi shida we jamaa, nilipata sup kozi yake the day before exam alinipa marking scheme yote nikakeshe nayo kesho yake ni mimi na kumbukumbu zangu tuu ( hahah daah )
Now he's a Dr.MWANYIKA
nyoko zake huyu mzee, mwaka wa kwanza nabeba kozi yake.... alinitibua mzee, ananibebesha kozi mwaka wa kwanza kuingia mwaka wa pili af naingia mwaka wa pili nakutana na jitu jingine afadhali ya yeye....
nakuja kupata sup ya carry over!! nilihisi dunia ndo inaishia pale asee
Sent using Jamii Forums mobile app
Sadly!Prof Chambo kafariki lini?Prof Chambo (Rip), Prof. Magigi huyu mpaka leo naishi principle zake, Prof. Sife the best, Mwl wangu Dr Kazungu, Mwalimu wangu QM Mwal. Ngailo,
Nawapenda sana nyote! Yo the best.
Chuo kikuu cha Ushirika Moshi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kukaripa we mhitimu wa chuo kikuu cha kata.Nenda na wewe kachukue kama rahisi,Walimu wote asilimia kubwa UDOM wametoka UDSM,we bwana achaga upuuzi wa kuandika chochote unachojisikia kwa kivuli cha JF,kuwa msomi mpuuzi wewe.We hujui degree watu wanavyopata kwa shida huko UDOM mpaka watu wanakesha L room afu mtu unakuja na upuuzi humu.Heshimu watu asee.Hivi ukikaa huko nawe utajiita Great Thinker???? Dahh Mjinga sana wewe jamaa.
Dr ngatuni na Dr mbura nawajua , Dr mbura alinifundisha ,Dr Baisi(UDBS), Prof Urassa(UDBS), Dr I S Allan(UDBS), Dr Mariam Nchimbi(UDBS), Prof Victor, Prof Kundi, Dr Chacha (HRM), Dr Ngatuni , Dr Mbura, Dr Samuel Werema
Dr Siasa Yuko vizuriDR SIASA ISSA MZENZI WA UDSM MZEE BABA AKIKUFUNDISHA AC 100 NA AC 101 FIRST YEAR KULE B.COM YANI HAPA MZEE BABA NDIO UTAJUA NINI MAANA YA MAKABATI YA ACCOUNTS YANI MIE NIMESOMA HGL MPAKA NAMALIZA BCOM 2012 SIKUWAHI KU BALANCE BALANCE SHEET STATEMENT HATA MOJA MPAKA NAMALIZA HADI MASTERS.ILA NIKAJA NIKAGUNDUA KUWA MARKS ZA KWENYE MITIHANI YA ACCOUNTS HUWA ZINAPATIKANA KWENYE ZILE CORRECT ENTRIES.
Huyo alikuwaga mkuu wa wilaya
Kumbe mbonile Ni jinaHusiaribu majina ya wakubwa mkuu mbonile ni jina la kihaya maana yake nimeona
Sent using Jamii Forums mobile app
Ebwana huyu jamaa alinifundisha kozi moja ya komputa,,,,nilikuwa namuelewa sana.Paper zake sikuwahi kupata chini ya 95%.Dr Churi pale SUA alikua Infomat/Comp center
Hahahaha! Babu Mbuuuuuuche,,,,mzee wa totoz.Nashukuru hakuwahi nipeleka majira ya joto.Kwa wale tuliosoma SUA kozi za hesabu kuna mhadhiri mmoja alikuwa anaitwa SEMBUCHE ,aisee sitakaa nimsahau yule babu !kwanza ,mfupi ,ana chechemea kama ana kilema ,sauti nzito kama kafunga sub woofer,akiwa anafundisha shati aanfingua vishikizo na hakuwa anavaa singled hahahaahhaa..aisee kituko chake kimoja ni anafundisha huku anafuta anachokiandika yani mpaka somo linaisha ubao msafi utafikiri hakukuwa na somo...mara ya mwisho anafundisha alikamata wanafunzi 800 mpaka chuo kikaamua kimuombe asitaafu !!..sijui yuko wapi yule babu,aisee ..ila alikuwa anajua hesabu utafikir aliitunga yeye....
Sent using Jamii Forums mobile app
Grafuate wa UDOM mna shida gani. Najua unatamani ungesoma UDSM bahati mbaya hawachukui wenye three