Wapo tofauti Huyo Ni Tarimo wa Irrigation Engineering,Yule ni Tarimo wa Agronomy (Agriculture is a science_Are you like agriculture or were you all born Kariakoo)Tarimo Yule ana double cabin flani nyeupe Anaitwa Tarimo AJP kama sikosei.
Alittufundisha principle of agriculture 1st year .
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sawa ktk hili, ila linahitaji uzi wake! Huu uzi ni kwa kuwakumbuka waalimu wetu!Kwani huko mtaani (baada ya graduation) mnatofautiana kwenye kudeliver? Are a better choice in your industry ? Au kichwa kikubwa tuu ? Like is a doctor from Udom worse than one from Muhimbili or UDSM ? May be it is a problem of stereotyping, just like racism is. My message is; it doesn’t matter how one enters the University, it is the exit quality that matters.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alipaswa arudi kwa daktari wa hilo jino!Kuna Dr mmoja pale udsm upande wa education nimemsahau jina akiingia pindi akianza kutema cheche lazima jino lidondoke anaokota analifuta analichomeka ilikuwa burudan sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka adanganye au? Yeye amesema jinsi anavyomkumbuka mwalimu wake kwa kumuwezesha kufaulu mtihani! Shida hapo ni nini? Kama hayo mwalimu aliyafanya yasiyokuwa mazuri kuyasema hadharani kwa kuwa na -ve consequences basi ni bora wakimu wakajitathmini ili wasiyafanye kabisa! Kama ni mema, tuyataje tu!Mkuu mbona umemexpose Sana Prof msambwa , sio fair najua hauna Nia mbaya sema sawa kusema kakupa............ukeshe nayo , that sounds awkward bro, just edit
SEMBUCHE siyo kabisa alishawahi kunipeleka tuta nikachomoaKwa wale tuliosoma SUA kozi za hesabu kuna mhadhiri mmoja alikuwa anaitwa SEMBUCHE ,aisee sitakaa nimsahau yule babu !kwanza ,mfupi ,ana chechemea kama ana kilema ,sauti nzito kama kafunga sub woofer,akiwa anafundisha shati aanfingua vishikizo na hakuwa anavaa singled hahahaahhaa..aisee kituko chake kimoja ni anafundisha huku anafuta anachokiandika yani mpaka somo linaisha ubao msafi utafikiri hakukuwa na somo...mara ya mwisho anafundisha alikamata wanafunzi 800 mpaka chuo kikaamua kimuombe asitaafu !!..sijui yuko wapi yule babu,aisee ..ila alikuwa anajua hesabu utafikir aliitunga yeye....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana Prof. Mlengera nilikuta tayari ameshastaafu. Lakini stories zake nimezipatapata nasikia alikataa kufundisha kwa mkataba.Prof. Mlengela hakukufundisha???
Yule mzee hadi sasa sielewi elewi nilivukaje somo lake..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana Prof. Mlengera nilikuta tayari ameshastaafu. Lakini stories zake nimezipatapata nasikia alikataa kufundisha kwa mkataba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mulengera nadhani kastaafu 2014, 2015 au 2016 akarudi kwao Kigoma ambako ana kama ekari elfu moja pamoja na trekta nyingi and fuso kadhaa. Kaenda kujiajiri hasa kwenye kilimo.Prof. Kahimba Fred,Prof. Kihupi,Prof.Mganilwa,Dr.Mwampamba (R.I.P),Dr.Kalugila (mzee wa MTH),Babu Sembuche.
Kuna mwamba mmoja Prof. Mulengera utamuelewa darasani lakini kwenye mitihani yake utatoka jasho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dr. Nyaoro
Prof. Mushule
Dr. Masaoe
Prof. Mayo
Prof. Park
Prof. Ndumbalo
Dr. Momanyi
Prof. Lema
Prof. Shirima
Hawa walifanya maisha yangu pale Coet Udsm kuwa murua sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee mbona inaonekana umepita vyuo vya kinyonge sana?ha ha ha,teku na udom.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee mbona inaonekana umepita vyuo vya kinyonge sana?ha ha ha,teku na udom.
Sent using Jamii Forums mobile app
To dateProf. Mtabaji, the only Professor of Physiology in East & Central Africa by then!
Hahaha mimi nilivyokuwa siriz sijui hata ulipata wapi wazo la kuniviziaBebe nilikuwaga nakuvizia vizia pale maeneo ya SR's
Unanipiga chenga
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mbona nimepishana sana unatoka Hall5!!Hahaha mimi nilivyokuwa siriz sijui hata ulipata wapi wazo la kunivizia
Hall five? Hahaha kama unajua vile nilikuwa siingii vyumba vya wakaka ila hall five alikuwepo rafiki yangu wa tangu shule ya msingi kwa hiyo niliwahi kuingia siku mojaWewe mbona nimepishana sana unatoka Hall5!!
Typed Using KIDOLE