Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

ulikuwa hukazi tu mkuu uwezo wako tunaujua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila asilimia kubwa ya wakufunzi pale Ardhi university wako vzr.
Kile chuo ni bora Kwa ufundishaji na watu wa pale hasa Architecture, interior design,Geomatics,Geoinformatics,EE nk wapo vzr sana practical.

Kwa tz ARDHI UNIVERSITY ni bora pengine kuliko vyuo vyote ingawa majengo yake sio mazuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila Tuseme ukweli nimejaribu kuona majina yamayotajwa humu ya mabest maprofessor.


Mbona majina mengi ni ya kihaya na yenye asili ya bukoba?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ossoro na karamagi hahaha hao hapana.

Mateso waliyotupa ni makubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…