The Gentleman Pirate
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 1,450
- 921
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mzee alikuwa anatumia sana lugha ya vijana kwenye kipindi chake cha mambo ya epidemiology.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa ndio wasomi wenu kutoka vyuo vikuu vyetu. Wamekalia kuandika upupu.
Hivi wasomi wa China nao wangekuwa na akili kama zenu ,corona si ingewamaliza?
Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE
Corona sprayer.Dr wa jalalani, akiwa anapiga lecture class lazima wale wa mbele yake wawe na leso maana si kwa mate Yale.
Daaah Prof katisha sanaDk. flani hapa chuo namkubali sana. Siku moja akadai
"Mlivyo wanafiki chupi mnaita nguo ya ndani na matako mnaita makalio. Tako ni tako tu, kalio jina. Mbona sijawahi kusikia miguu mnaita matembeleo[emoji23]"
Prof.NgwaleProf Lugumamu mzee wa misifa anasema ukiliona garo lake limepako manzese poga simu polisi limeibiwa au limetekwa maana yeye hans Cha kufuaya manzese
Sent using Jamii Forums mobile app
ulikuwa hukazi tu mkuu uwezo wako tunaujuaNamkumbuka mhadhiri mmoja aliyetumia baadhi ya wanafunzi kumpiga majungu mkuu wa kitivo ili yeye apate hiyo nafasi, alikuja kufanikiwa na hao aliowatumia wakawa watu wake watiifu na walioneemeka kwa kupata maksi za bure . Ingawa alikuja kuondolewa kwenye nafasi yake lakini aliharibu mno kitivo kwa kuwa anagawa maksi kwa watu waliokuwa watiifu kwake, yaani ukijipendekeza tu unakula GPA nzuri. Huyo jamaa ni kati ya watu wa hovyo ( Mungu nisamehe kwa hili) mno niliowahi kutana nao katika historia yangu ya elimu.
Ila asilimia kubwa ya wakufunzi pale Ardhi university wako vzr.R.M. Besha, prof. Livin H. Mosha, school of Architecture and design - Ardhi university, sitokaa niwasahau.. kwa nondo zao wamenifanya niwe who I am today. Ninawashukuru sana. Walikua nondo hatariiii... besha akikufundisha history and theory of architecture, lazma uipende tu architecture,,,, studio ndo usiseme....
Watu wengine bwana kwa kujipendekeza, endelea tu kujifanya unajua kila mtu.
Muhaya huyo[emoji23][emoji23] ila anajua aiseeProf Lugumamu mzee wa misifa anasema ukiliona garo lake limepako manzese poga simu polisi limeibiwa au limetekwa maana yeye hans Cha kufuaya manzese
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila Tuseme ukweli nimejaribu kuona majina yamayotajwa humu ya mabest maprofessor.Economics department udsm.
Prof Moshi(Development Economist)
Prof Msambichaka(Development Economist)
Prof Rwegasira(Monetary Economist From Havard)
Prof Rutasitara(Macro Economist)
Prof. Ossoro(Econometrics)
Dr. Semboja(industrial economist)
Dr Karamagi(Micro Economist)
Sent using Jamii Forums mobile app
Economics department udsm.
Prof Moshi(Development Economist)
Prof Msambichaka(Development Economist)
Prof Rwegasira(Monetary Economist From Havard)
Prof Rutasitara(Macro Economist)
Prof. Ossoro(Econometrics)
Dr. Semboja(industrial economist)
Dr Karamagi(Micro Economist)
Sent using Jamii Forums mobile app