Mlitaka watu wote na members wa humu mzaliwe mwaka mmoja au rika moja.Kutoka chuo gani? Before that una umri gani maana unaweza kuta unaongea na mtoto wa 90s
Maghway siku hizi amekuwa mtawa wa shirika la makapuchini morogoro mkuu.Prof. Maghway wa UDSM. Huyu mzee aikuwa anatisha sana kwenye Linguistics. Pia Prof. Saida Othman
Sent using Jamii Forums mobile app
Dr Msocha from penda watotoProf Daniel from Oxford University.
Micro Economics
Hahaha kweli kabisaa mkuu ossoro sijawahi kumuelewa.Ha ha nimeshangaa kuwataja hao jamaa hao jamaa hawafai hata kidogo na Ossoro jr naye hakuna kitu anachofundisha hakieleweki kutishana tu kwa kifupi EC 116 na 126 hazina lecturer walio fair ila EC 117 na 127 wako poa sana
Prof. Pereka
Prof. Assey
Prof. Kassuku (RIP)
Prof. R.D Mosha
Prof. Ngomuo
Prof. Mgongo
Prof. Kimera
Mungu awabariki sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
PROF. BABU MSELE (UNIVERSITY OF DODOMA COLLAGE OF INFORMATICS AND VISUAL EDUCATION (CIVE) )Jamani, ni hulka ya wanadamu kutotangaza mema ya watu lakini wepesi sana kutangaza mabaya ya watu.
Hivi karibuni kuna madaktari kadhaa walitangazwa na wanafunzi wao kwa ubaya sana! Sijui kama tuhuma walizotangazwa kwazo zilikuwa na ukweli au la!
Huu uzi naomba tufanye kinyume, tuwaseme wakufunzi wetu wa vyuo vikuu kwa majina yao kwa namna walivyo 'committed', 'fair' na mahiri ktk kutoa mashule na hata walivyo fair ktk kutoa na ku'mark' mitihani yenu!
Kama hukujariwa kufika chuo kikuu ww muweke mwalimu aliyekufurahisha kwa umahiri wake wa kufundisha ktk kiwango cha kuu kabisa cha cha elimu ulichofikia! Niishie hapo
ha ha mtu poa sana ila analewa sana umkosi samaki spot,beer oclock na front view kila sikuMr Christopher makindi NYARUBA mzeee wa organization behavior (OB) MZUMBE main campus huyu jamaa ni fundii sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Prof Urassa J, K sua, Yahaya Nawanda, Dr. Mbwambo, MwakapinaJamani, ni hulka ya wanadamu kutotangaza mema ya watu lakini wepesi sana kutangaza mabaya ya watu.
Hivi karibuni kuna madaktari kadhaa walitangazwa na wanafunzi wao kwa ubaya sana! Sijui kama tuhuma walizotangazwa kwazo zilikuwa na ukweli au la!
Huu uzi naomba tufanye kinyume, tuwaseme wakufunzi wetu wa vyuo vikuu kwa majina yao kwa namna walivyo 'committed', 'fair' na mahiri ktk kutoa mashule na hata walivyo fair ktk kutoa na ku'mark' mitihani yenu!
Kama hukujariwa kufika chuo kikuu ww muweke mwalimu aliyekufurahisha kwa umahiri wake wa kufundisha ktk kiwango cha kuu kabisa cha cha elimu ulichofikia! Niishie hapo
Yahaya Nawanda, sasa hivi na yeye ni D.r (PhD)Prof Urassa J, K sua, Yahaya Nawanda, Dr. Mbwambo, Mwakapina
kwa muandiko huu na unachokisema ni sahihi kabisaDR SIASA ISSA MZENZI WA UDSM MZEE BABA AKIKUFUNDISHA AC 100 NA AC 101 FIRST YEAR KULE B.COM YANI HAPA MZEE BABA NDIO UTAJUA NINI MAANA YA MAKABATI YA ACCOUNTS YANI MIE NIMESOMA HGL MPAKA NAMALIZA BCOM 2012 SIKUWAHI KU BALANCE BALANCE SHEET STATEMENT HATA MOJA MPAKA NAMALIZA HADI MASTERS.ILA NIKAJA NIKAGUNDUA KUWA MARKS ZA KWENYE MITIHANI YA ACCOUNTS HUWA ZINAPATIKANA KWENYE ZILE CORRECT ENTRIES.