Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

Dr wa jalalani, akiwa anapiga lecture class lazima wale wa mbele yake wawe na leso maana si kwa mate Yale.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Prof Mbonile
Jina lake haligupishwi hilo...mzee wa jogi
 
Back
Top Bottom