Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

Dkt Hamza Mkai (r.i.p) alikuwa anasema dont complicate things. Thiings are'nt hard as u think

Dr Chris Mauki guidence and counselling hakika jamaa anaifanya kazi yake kutoka damuni. The guy was soo smat in presentation even exams

Dr Mashindano.

Good bless them

Sent using Jamii Forums mobile app
Dr. Mkai..R.I.P...ndugu zangu wa BAE na BAEST watakuwa wanamuelewa.
 
Mkuu mbona umemexpose Sana Prof msambwa , sio fair najua hauna Nia mbaya sema sawa kusema kakupa............ukeshe nayo , that sounds awkward bro, just edit
Wee utakuwa kilaza halafu unapenda kubebwa
Kwa hyo ukikutana na wahadhiri wasiotaka ujinga unakasirika
Pole unatakiwa kubadilika
 
Tr Lyatuu - chemistry O’level (alisababisha niipende Chemistry na kufaulu vizuri sana)
Tr Kavenuke - chemistry a’level (Mwl Poa sana alieipenda kazi yake , RIP)
Prof Funajiv UDSM - Paschal language (alipenda kumalizana na programming ubaoni code mnamalizana kwenye karatasi )
Prof Akaro - UDSM Dpt ya Statistics , Mungu ambariki hakasiriki hata ukiuliza maswali Mara ngapi anakuelewesha.
Prof Mbago - UDSM , Baba Huyu alifanya nione ststistics ni nyepesi Somo lake lolote alilonifundisha nilipata A ya maana.
Prof Kidane - UDSM alinifundisha econometrics nikaelewa kiasi cha kuweza kufanya mtihani bila review. God bless him huko aliko (sio Mtz).
Dr Rugaimukamu - UDSM Mwl wa hesabu alikuwa anatutisha tisha na somo lake la MT 100 ila tukafaulu
Wengine ilikuwa kawaida kuna masomo mengine yalikuwa easy lakini namna Mwl anafundisha unaishia kutoelewa.
 
Back
Top Bottom