SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
Nauliza swali tu wanaume .
Nani anawaambia kuwa mimi ni wakuzalishwa bila ndoa naninataka kupunguziwa haja na mtu ??
Jueni hili miaka yenu yote mie nilionwa sifai nanyie nikazoeaa . Halafu kila anayeniona naunene wangu mnaniita single mother , eti mshangazi hamuezi kudate na mzee .
Sasa huu mwaka mtu ananisema kuwa nahitaji wanaume wakunipunguzia haja zangu ??
Pm wanakuja watu wananiambia na taka niwe mpenzi wako tuzae tu ila siwezi kukuoa eeh ni akili yenu au ??
Mimi nataka kuolewa ila sio humu . Maana mlishasema kuwa siwavutii .
Wakina best wanawavutia nakuwapa hela .
So mimi sijazaliwa niwe baby mama wenu tafuteni malaya wenu mmoja awazalie nimechoka nawatu wengine nawajua na niwatu naheshima zao.