Hebu njooni tutetee kidogo mie nataka ndoa sio kuwa baby mama

ukaona uje utoboe siri?? yan umeosa sifa ya kuwa wife material sababu friji lako haligandishi.
Wewe nawe hunaga stara unaona wanawake wenzako ni mafucking wewe ndio umebeba akili zao ngoja nikuambie jambo mwaka jana ilikuwa mwaka jana sasa mwaka huu mie sitaki nuksi zenu naku ignore tu .

Nakama nyie mmezoea hii hali sio mie .
Na huyo anayeweka mabango mie ndio nafaa kuzalishwa nikimjua ndio atajua au hajui .
Jingine stres zenu na midomo yenu saivi mtakosa atakaye wajibu 2025 i am not.interested with you and you are group of losers
 
hehehe kimeumana namna hii?? kunywa maji take it easy gal, i was joking sorry kama nimekukera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…