Hebu njooni tutetee kidogo mie nataka ndoa sio kuwa baby mama

MBona nampenda ndoa sanaaa Hadi mnatutisha ndani ya ndoa mmebeba nn
 
Kuna Binti alinisumbua sana mpaka moyo wangu uliamua kumpotezea sababu nilikuwa nikimwambia natak nikuoe hanasema mda wake bado mara moyo wake una heartbreak na ndoa

Now ananitafuta nmemwambia anisahau kabisa maana nimeshampata mwingne analia na kunilaumu tuuh ingawa yeye ndyo chanzo Cha mim kutafuta mwingne

Huwa kunawakt hamueleweki mnataka nn kwahyo usiwasema wanaotaka kupita tuuuhh

Waache wapunguze upwiru 🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈
 
Your browser is not able to display this video.
 
Oooh...thick lady!How are you doing,my lady?
 
Kumekucha kumekucha [emoji3][emoji3] am here for fun
 
Mimi nataka kuolewa ila sio humu . Maana mlishasema kuwa siwavutii .
Mbona hili ni jipya kwangu?

Why?

Au kuna ambao tayari wamekuona physically? au ni imagination zao kwamba uko hivi au vile? Au umeshawahi share picha hapa JF? (Maswali ni mengi)
 
Mbona hili ni jipya kwangu?

Why?

Au kuna ambao tayari wamekuona physically? au ni imagination zao kwamba uko hivi au vile? Au umeshawahi share picha hapa JF? (Maswali ni mengi)
I Think this Lady ako na shida mahali kwenye.. Nimepitia nyuzi zake ni kama ana mwezi mchanga sijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…