Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo LD umekubaliana na babu?
Nataka kuondoka ujue........:rain:
:A S 13:ulisema una kaka yako....kwenye post zako za nyuma,sasa kama ulidanganya ujue umesha break heart yangu.....itaniuma sana!!!
nilisema ndiyo ila nimesita,kumbe na ww unamtaka?ntakupa ctaki nikubrek hati tafadhali🙂
TANGAZO
namtafuta wiselady kokote aliko.....
hii ni kumjulisha kwamba anipokee kituo cha daladala ngalenaro Leo saa sita kasoro robo usiku
AHSANTENI SANA
Pataziba......Mwenzenu nilivunjwa moyo miaka miwili iliyopita, Tangu moyo ulivyovunjika nimekuwa nikimuomba Mungu aniponye na nina Imani ameniponya kabisa, manake najiona sina kinyongo, wala uchungu na huyo heart breaker, na ninachomshukuru Mungu zaidi nina furaha na Amani, na maisha yanaendelea vizuri.
Pamoja na hivo ninamshukuru Mungu kwa sababu amenisamehe dhambi niliyokuwa nimeitenda, kwa sababu nilijidai ninampenda sana huyo mtu kuliko hata Mungu, nikampa vyote, nafsi, roho na mwili. Wakati mwingine hata muda wa kwenda kuabudu ulipungua kwa kumpa huyo heart breaker muda mwingi zaidi.
Baada ya tukio hilo,niliamua kujipa likizo ya kumpenda mwanaume, yani nikaziba madirisha yote ya kumkaribisha mwanaume moyoni mwangu.
Siwachukii lakini nimejipa likizo kwa muda wa miaka mitano hivi, na sasa huu ni mwaka wa pili, ina maana bado miaka mitatu.
Je uamuzi wangu wa kujipa likizo ni sahihi?
Najiona ninaweza kuendelea na likizo hadi miaka mitatu iliyobakia iishe, je ni kweli au
naidanganya nafsi yangu.
Angalizo Marufuku kunitania Broken Heart!! Umesikia GY, Asprin, TF, Askofu na Teamo T, bila kumsahau Bigirita. Mjukuu mtiifu umesikia!! na wewe St. RR.
Changamoto katika maisha ni nyingi sana, si ajabu huyo uliye achana naye ni mungu amekuepusha na matatizo ambayo ungeweza kuja kukutana nayo mbeleni, usiteseke kwa sababu umeachana na mwanaume bali fikiria ni maisha ya aina gani yanyoweza kukupa furaha hapa duniani. Kumbuka kupendani ni hisia za ndani za mtu, unaweza ukampenda asiye kupenda au unaweza kupendwa na usiye mpenda. Ni vizuri kujipa likizo ya ku-analyze ulikosea wapi, inawezekana ulimpenda asiye kupenda au vinginevyo. Lakini usijipe kifungu mwenyewe cha miaka mitano ukidhani baada ya hapo utampata umpendae, usipo fakiniwa baada ya 5yrs nadhani utaweza kuwa na wakati mgumu sana. Mimi nakushauri kama una mpango wa kupenda tena basi uliza moyo wako unataka nini then ukimpata uliyeridhika nae tumia taratibu zilizopo kuingia kwenye ndoa halali bila kujali kipengele cha miaka ya likizo.
Note: Usitumie ngono kama silaha ya kumfanya mwaume akuoe au kuimaarisha mahusiano, mwanume atakuoa kama moyo wake umekuridhia. Fanya ngono kama unataka kuburudisha mwili vinginevyo achana nayo.
TANGAZO
namtafuta wiselady kokote aliko.....
hii ni kumjulisha kwamba anipokee kituo cha daladala ngalenaro Leo saa sita kasoro robo usiku
AHSANTENI SANA
Duuh! mapenzi kitu cha ajabu sana anayefanya kosa mtu mwingine, cha kushangaza anayetendewa kosa anajiingiza mwenyewe kifungoni. Pole sana LD jitoe katika kifungo hicho kwani hukustahili kabisa. Tii kiu yako.
You see there are many occasions in life when we think we are victims of circumstance, whatever life flings at us we may have no control over, but we DO have control over our response to whatever happens to us.
I could suggest that it isn't TIME that heals, but what actually heals is how we handle that time, and what we do with it. Think about that carefully before you reject the idea completely.
:wink2::wink2: sasa moyo umetulia.....nashukuru WL,uzidi barikiwa sana.......namsubiri!!!:rain::rain:
mwanajamiione bana lol!....
nitaongea na kitu PAPA-D aka DAZ akufanyie mpango wa PLUMBING AND ENGINEERING INSTALLATION kutoka pande za keko (tanzania distilariiz) mpaka hapo fairway unapoish
TANGAZO
namtafuta wiselady kokote aliko.....
hii ni kumjulisha kwamba anipokee kituo cha daladala ngalenaro Leo saa sita kasoro robo usiku
AHSANTENI SANA
Who knows what tomorrow has to offer??................Tomorrow will offer you me.Mmmmmmh!! Sisemi sana manake!!
Hii signature inamaana sana!!!
who knows what tomorrow has to offer??................tomorrow will offer you me.