Hebu sikieni ninavyowaza!!

Hebu sikieni ninavyowaza!!

LD life goes on! it may take five yrs 4 u to settle with someone but don't just sit there counting it, do some filtration on the way!

Thanks Elia, sikuoni siku hizi!!
 
Hebu nikumbushe LD ameachika au ameacha?

Mmmmmmmmh!!!! Sijawahi kuolewa lol!!
Fidel, njoo huku tuongee, hizo spea naanza kuona umuhimu wake!!
 
Acha tu my dear, mi mtu anayeitwa mwanaume hapa duniani Mungu angeniuliza awape siku ngapi za kuishi ningesema 21 tu.

Dah sikutaka kabisa kuchangia hii thread LD bana eti uwape miaka 21 lol, mapenzi raha yake mpatane wote mlishaumizwa mbaba na mdada kuna raha usipime wote mnajua aa wacha nistarehe tu wote wale wale basi mna kula raha tu hakuna kuwaziana oh utanioa au nitakuoa furaha + kuburudishana kwanza mengine kama yapo yatafuata baadae
 
Changamoto katika maisha ni nyingi sana, si ajabu huyo uliye achana naye ni mungu amekuepusha na matatizo ambayo ungeweza kuja kukutana nayo mbeleni, usiteseke kwa sababu umeachana na mwanaume bali fikiria ni maisha ya aina gani yanyoweza kukupa furaha hapa duniani. Kumbuka kupendani ni hisia za ndani za mtu, unaweza ukampenda asiye kupenda au unaweza kupendwa na usiye mpenda. Ni vizuri kujipa likizo ya ku-analyze ulikosea wapi, inawezekana ulimpenda asiye kupenda au vinginevyo. Lakini usijipe kifungu mwenyewe cha miaka mitano ukidhani baada ya hapo utampata umpendae, usipo fakiniwa baada ya 5yrs nadhani utaweza kuwa na wakati mgumu sana. Mimi nakushauri kama una mpango wa kupenda tena basi uliza moyo wako unataka nini then ukimpata uliyeridhika nae tumia taratibu zilizopo kuingia kwenye ndoa halali bila kujali kipengele cha miaka ya likizo.
Note: Usitumie ngono kama silaha ya kumfanya mwaume akuoe au kuimaarisha mahusiano, mwanume atakuoa kama moyo wake umekuridhia. Fanya ngono kama unataka kuburudisha mwili vinginevyo achana nayo.
 
haha!ld bado sijamuelewa mama obama wacha nimsome kwanza 🙂

:A S 13:ulisema una kaka yako....kwenye post zako za nyuma,sasa kama ulidanganya ujue umesha break heart yangu.....itaniuma sana!!!
 
Tongotongo zimeondoka, kwanzia leo nitakuwa napenda, madirisha yamefunguliwa!!!
Kamata hii Mshiki!!
The Following User Says Thank You to LD For This Useful Post:

Kimey (Today)

Na thread is Closed!! Mshiki ameondoa kingo zilizokua zinamsumbua!!
 
ile masai ulitoa wapi?mbugani au kanisani?inaelekea uliitafuta kwa shida ndio maana waipenda sana.

hapo red:unaishiwa busara waweza kwenda ziwani hapo victoria ukavue samaki wa jioni?au utakula mapanki leo?
 
You see there are many occasions in life when we think we are victims of circumstance, whatever life flings at us we may have no control over, but we DO have control over our response to whatever happens to us.
I could suggest that it isn't TIME that heals, but what actually heals is how we handle that time, and what we do with it. Think about that carefully before you reject the idea completely.
 
Duuh! mapenzi kitu cha ajabu sana anayefanya kosa mtu mwingine, cha kushangaza anayetendewa kosa anajiingiza mwenyewe kifungoni. Pole sana LD jitoe katika kifungo hicho kwani hukustahili kabisa. Tii kiu yako.
 
Kwa hiyo LD umekubaliana na babu?

Nataka kuondoka ujue........:rain:
 
komredi mambo vp? nakuona mdogomdogo tu haya bana!! asee ile bia yako bado inakusubiri upite tena huku Usalule!

Hahahaha hommie bana ulitaka nizime maeneo ya Lungemba aliko koswa koswa Mwakyembe lol ila lazima nifanye mrejesho hommie
 
vipi ile masai nzima?ulikimbilia masai ili usipewe heart break?martytina ulichukua uamuzi ngumu sana yaan ulianzaje kupenda ile mutu bibie?Acha ushamba njoo huku umasaini kukame utakoma.
mbona unanilazimisha nikutukane?kabila has nothing to do in love making na tena uelewe KABILA ni mipaka tu ya maeneo.
 
Nashukuru sana LD kwa kumuelewa mwanajamii please jichanganye uweze kuinjoi maisha mpenzi
 
Back
Top Bottom