Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
kweli,Fidel nina doubts nae!
Hebu nikumbushe LD ameachika au ameacha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli,Fidel nina doubts nae!
komredi mambo vp? nakuona mdogomdogo tu haya bana!! asee ile bia yako bado inakusubiri upite tena huku Usalule!Nipo hapa
Nipo hapa
yule kaka yako vipi?:A S 13:
Hebu nikumbushe LD ameachika au ameacha?
Acha tu my dear, mi mtu anayeitwa mwanaume hapa duniani Mungu angeniuliza awape siku ngapi za kuishi ningesema 21 tu.
:A S 13: ahaaaaa.....kumbe ndo wewe,duh,hii riziki yako.....kila niendako nakukuta...l.o.l
haha!ld bado sijamuelewa mama obama wacha nimsome kwanza 🙂
Kamata hii Mshiki!!Tongotongo zimeondoka, kwanzia leo nitakuwa napenda, madirisha yamefunguliwa!!!
Mmmmmmmmh!!!! Sijawahi kuolewa lol!!
Fidel, njoo huku tuongee, hizo spea naanza kuona umuhimu wake!!
ile masai ulitoa wapi?mbugani au kanisani?inaelekea uliitafuta kwa shida ndio maana waipenda sana.
komredi mambo vp? nakuona mdogomdogo tu haya bana!! asee ile bia yako bado inakusubiri upite tena huku Usalule!
mbona unanilazimisha nikutukane?kabila has nothing to do in love making na tena uelewe KABILA ni mipaka tu ya maeneo.vipi ile masai nzima?ulikimbilia masai ili usipewe heart break?martytina ulichukua uamuzi ngumu sana yaan ulianzaje kupenda ile mutu bibie?Acha ushamba njoo huku umasaini kukame utakoma.