Hebu sikieni ninavyowaza!!

Hebu sikieni ninavyowaza!!

Gari pesa sina ndio maana nakuuliza mchumba wee wa gari au nyumba ama pesa kwa uchumba.........
Homu boyi Elodiii kesha kua mjanja sasa huwezi kwenda na mashairi kama hayo akakuelewa....!!
 
...kwa kuanzia, nifahamishe kwanini ulichagua miaka mitano ya likizo?
pili, kwanini unafikiri unajidanganya nafsi yako kusubiria miaka mitatu iliyobakia?



Mwenzenu nilivunjwa moyo miaka miwili iliyopita, Tangu moyo ulivyovunjika nimekuwa nikimuomba Mungu aniponye na nina Imani ameniponya kabisa, manake najiona sina kinyongo, wala uchungu na huyo heart breaker, na ninachomshukuru Mungu zaidi nina furaha na Amani, na maisha yanaendelea vizuri.

Pamoja na hivo ninamshukuru Mungu kwa sababu amenisamehe dhambi niliyokuwa nimeitenda, kwa sababu nilijidai ninampenda sana huyo mtu kuliko hata Mungu, nikampa vyote, nafsi, roho na mwili. Wakati mwingine hata muda wa kwenda kuabudu ulipungua kwa kumpa huyo heart breaker muda mwingi zaidi.

Baada ya tukio hilo,niliamua kujipa likizo ya kumpenda mwanaume, yani nikaziba madirisha yote ya kumkaribisha mwanaume moyoni mwangu.
Siwachukii lakini nimejipa likizo kwa muda wa miaka mitano hivi, na sasa huu ni mwaka wa pili, ina maana bado miaka mitatu.

Je uamuzi wangu wa kujipa likizo ni sahihi?
Najiona ninaweza kuendelea na likizo hadi miaka mitatu iliyobakia iishe, je ni kweli au
naidanganya nafsi yangu.

Angalizo Marufuku kunitania Broken Heart!! Umesikia GY, Asprin, TF, Askofu na Teamo T, bila kumsahau Bigirita. Mjukuu mtiifu umesikia!! na wewe St. RR.
 
Siku hizi naona naachwa kweli

wewe ld, hayo si ungeacha tuyamalize kimya-kimya? Kisa gani kusema mbele za watu?
 
Siku hizi naona naachwa kweli

wewe ld, hayo si ungeacha tuyamalize kimya-kimya? Kisa gani kusema mbele za watu?

Ha ha ha ha!!!
Eti eeh!!!
Duuuuuu yamenishinda aiseeee!!!
 
Homu boyi Elodiii kesha kua mjanja sasa huwezi kwenda na mashairi kama hayo akakuelewa....!!

Mwambie, mueleze, alewe vizuriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!
 
...kwa kuanzia, nifahamishe kwanini ulichagua miaka mitano ya likizo?
pili, kwanini unafikiri unajidanganya nafsi yako kusubiria miaka mitatu iliyobakia?


Basi tu niliona sina sababu ya kumwamini mwanaume,
Najifikiria kwa nini nisipende bwanaaaaaaaaaaaaaaa!!!!
Kwa hiyo kutokana na mahekima niliyoyapata hapa, nimefungua mlango, na likizo imeishia hapo kwenye miaka miwili.
Lakini mapenzi ya Mungu yatimie zaidi!!!!!!!
 
Kweli busara zimesaidia kila la heri

Uzuri hapa, lazima upate jibu la maswali yako DA, hasa ukiwa makini kuchambua dagaaa kwenye vichwa vya dagaa!!!
 
kwanza pole sana bibie,wewe ulianza kujiumiza mwenyewe kwa kumfata huyo aliyekuwa c kiongozi mwema kwani mwanaume anatakiwa kuwa kiongozi mwema,pili ulipoumizwa ukapatwa hasira ambazo zilikufikisha kuamua kujipa likizo ya nyundo 5,nina hakika ulijiamini kuwa ungeweza kufikia lengo lako na umejitahidi hadi miaka 2,kwa ufupi tu kufikia leo hii unaomba ushauri maana yake ni kuwa umeshashindwa kuendelea na mgomo wako baridi,hii pengine ni kuwa umeshamuona mbadala wa heart breaker wako au mwili wako unahitaji service .kwa hayo machache nakushsuri IPE NAFASI NAFSI YAKO URIDHISHE MWILI WAKO ILI UFURAHIE MAISHA NA UPATE RAHA YA KUFANYA SHUGHULI ZAKO ZA KILA SIKU BILA STRESS
 
Ref jeremah anasema moyo ni mdanganyifu sana tena una tabia ya kufisha (kuua).
Pia kuna methali ya kijerumani inasema akili (maarifa) hutoa nuru lakini moyo huweka kiza
Kama ulingia kwa huyo kijana kwa kuongozwa na moyo 2 lazima ungeumia lakini kama moyo ungekuwa 50 na akili 50 kama kulikuwa mambo tofauti ungeyagundua au kuyahisi ambayo yaliyokuwa yamejificha kwenye giza.

Na hali hii huchangiwa hasa na umri wa muhusika wenye umri mdogo wanafunzi ndiyo cases ni nyingi sana lakini wale matured victims ni wachache kwani akili zimekomaa na wamepitia changamoto nyingi tofauti
Anyway kwakuwa umesha kuwa mwathirika na ukiumwa na nyoka! ukiona unyasi lazima ushituke nakupongeza kwa kukaa muda wote huu nafilkiri mpaka hapo akili itakuwa imesha komaa
 
kujipa likizo ni kujiongezea stress....

it's like a woman whose kid dies JUST AFTER giving birth,halafu ''akajipa likizo'' ya miaka kadhaa ya kutokuwa na mtoto....

i'm telling you my dear.....UNAPATA MADHARA MAKUBWA SANA KISAOKOLOJIA
na ameshayapata so why yuko hapa kuuliza,hiyo dalili ya kuwa affected kisaokolojia
 
Basi tu niliona sina sababu ya kumwamini mwanaume,
Najifikiria kwa nini nisipende bwanaaaaaaaaaaaaaaa!!!!
Kwa hiyo kutokana na mahekima niliyoyapata hapa, nimefungua mlango, na likizo imeishia hapo kwenye miaka miwili.
Lakini mapenzi ya Mungu yatimie zaidi!!!!!!!

that's my point,

huwezi kujipangia healing process kwenye haya mambo ya heartbreak.
Kovu litaendelea kukaa moyoni kwa miaka mingine mingi sana, ila umeweza ku reason within your capacity njia mbadala za kujiliwaza na ku move on kimaisha.

Imekuchukua miaka miwili, naamini funzo ulilolipata limekubadilisha na sasa umekuwa LD mwenye mtazamo
chanya zaidi kwenye suala la mapenzi kuliko ilivyokuwa awali.

life-14.jpg


Wishing you the best.
 
Nistue nikupe tupeane raha mana na mimi nimepata shida kama yako.njoo tufarijiane maisha yenyewe haya halafu unajinyima sio sawa.
 
that's my point,

huwezi kujipangia healing process kwenye haya mambo ya heatbreaking.
Kovu litaendelea kukaa moyoni kwa miaka mingine mingi sana, ila umeweza ku reason within your capacity njia mbadala za kujiliwaza na ku move on kimaisha.

Imekuchukua miaka miwili, naamini funzo ulilolipata limekubadilisha na sasa umekuwa LD mwenye mtazamo
chanya zaidi kwenye suala la mapenzi kuliko ilivyokuwa awali.

life-14.jpg


Wishing you the best.

Dah, ubarikiwe sanaaaaaa!!!
Kwa kweli nashukuru, nimekuwa LD, Na nitakuja kuwaambia matokeo ya uponyaji wangu.
Mungu anisaidie tu, nisiangukie tena mikononi mwa wanyanganyi!!!!

Ubarikiwe sana Babu yangu!!!
 
Last edited by a moderator:
mwenzenu nilivunjwa moyo miaka miwili iliyopita, tangu moyo ulivyovunjika nimekuwa nikimuomba mungu aniponye na nina imani ameniponya kabisa, manake najiona sina kinyongo, wala uchungu na huyo heart breaker, na ninachomshukuru mungu zaidi nina furaha na amani, na maisha yanaendelea vizuri.

Pamoja na hivo ninamshukuru mungu kwa sababu amenisamehe dhambi niliyokuwa nimeitenda, kwa sababu nilijidai ninampenda sana huyo mtu kuliko hata mungu, nikampa vyote, nafsi, roho na mwili. Wakati mwingine hata muda wa kwenda kuabudu ulipungua kwa kumpa huyo heart breaker muda mwingi zaidi.

baada ya tukio hilo,niliamua kujipa likizo ya kumpenda mwanaume, yani nikaziba madirisha yote ya kumkaribisha mwanaume moyoni mwangu.
siwachukii lakini nimejipa likizo kwa muda wa miaka mitano hivi, na sasa huu ni mwaka wa pili, ina maana bado miaka mitatu.

je uamuzi wangu wa kujipa likizo ni sahihi?
Najiona ninaweza kuendelea na likizo hadi miaka mitatu iliyobakia iishe, je ni kweli au
naidanganya nafsi yangu.

Angalizo marufuku kunitania broken heart!! Umesikia gy, asprin, tf, askofu na teamo t, bila kumsahau bigirita. Mjukuu mtiifu umesikia!! Na wewe st. Rr.

hapo kwenye - red mh! Mh! Hekaya hiyo....
 
Back
Top Bottom