The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Umeona eheee mjukuu ngoja nitatest PM yake kama inafanya kazi l.o.lKwa hiyo LD umeruhusu kina The Finest waanze kuleta applications au bado waandaa ToRs?
Homu boyi Elodiii kesha kua mjanja sasa huwezi kwenda na mashairi kama hayo akakuelewa....!!Gari pesa sina ndio maana nakuuliza mchumba wee wa gari au nyumba ama pesa kwa uchumba.........
Mwenzenu nilivunjwa moyo miaka miwili iliyopita, Tangu moyo ulivyovunjika nimekuwa nikimuomba Mungu aniponye na nina Imani ameniponya kabisa, manake najiona sina kinyongo, wala uchungu na huyo heart breaker, na ninachomshukuru Mungu zaidi nina furaha na Amani, na maisha yanaendelea vizuri.
Pamoja na hivo ninamshukuru Mungu kwa sababu amenisamehe dhambi niliyokuwa nimeitenda, kwa sababu nilijidai ninampenda sana huyo mtu kuliko hata Mungu, nikampa vyote, nafsi, roho na mwili. Wakati mwingine hata muda wa kwenda kuabudu ulipungua kwa kumpa huyo heart breaker muda mwingi zaidi.
Baada ya tukio hilo,niliamua kujipa likizo ya kumpenda mwanaume, yani nikaziba madirisha yote ya kumkaribisha mwanaume moyoni mwangu.
Siwachukii lakini nimejipa likizo kwa muda wa miaka mitano hivi, na sasa huu ni mwaka wa pili, ina maana bado miaka mitatu.
Je uamuzi wangu wa kujipa likizo ni sahihi?
Najiona ninaweza kuendelea na likizo hadi miaka mitatu iliyobakia iishe, je ni kweli au
naidanganya nafsi yangu.
Angalizo Marufuku kunitania Broken Heart!! Umesikia GY, Asprin, TF, Askofu na Teamo T, bila kumsahau Bigirita. Mjukuu mtiifu umesikia!! na wewe St. RR.
Mvumilivu huyu atanisikiliza tuHomu boyi Elodiii kesha kua mjanja sasa huwezi kwenda na mashairi kama hayo akakuelewa....!!
...kwa kuanzia, nifahamishe kwanini ulichagua miaka mitano ya likizo?
pili, kwanini unafikiri unajidanganya nafsi yako kusubiria miaka mitatu iliyobakia?
Lakini si umeishaponywa heee eheeeeHiyo slogani ya uvumilivu, ilasha RIP kwangu.
Gari pesa sina ndio maana nakuuliza mchumba wee wa gari au nyumba ama pesa kwa uchumba.........
na ameshayapata so why yuko hapa kuuliza,hiyo dalili ya kuwa affected kisaokolojiakujipa likizo ni kujiongezea stress....
it's like a woman whose kid dies JUST AFTER giving birth,halafu ''akajipa likizo'' ya miaka kadhaa ya kutokuwa na mtoto....
i'm telling you my dear.....UNAPATA MADHARA MAKUBWA SANA KISAOKOLOJIA
Basi tu niliona sina sababu ya kumwamini mwanaume,
Najifikiria kwa nini nisipende bwanaaaaaaaaaaaaaaa!!!!
Kwa hiyo kutokana na mahekima niliyoyapata hapa, nimefungua mlango, na likizo imeishia hapo kwenye miaka miwili.
Lakini mapenzi ya Mungu yatimie zaidi!!!!!!!
that's my point,
huwezi kujipangia healing process kwenye haya mambo ya heatbreaking.
Kovu litaendelea kukaa moyoni kwa miaka mingine mingi sana, ila umeweza ku reason within your capacity njia mbadala za kujiliwaza na ku move on kimaisha.
Imekuchukua miaka miwili, naamini funzo ulilolipata limekubadilisha na sasa umekuwa LD mwenye mtazamo
chanya zaidi kwenye suala la mapenzi kuliko ilivyokuwa awali.
Wishing you the best.
mwenzenu nilivunjwa moyo miaka miwili iliyopita, tangu moyo ulivyovunjika nimekuwa nikimuomba mungu aniponye na nina imani ameniponya kabisa, manake najiona sina kinyongo, wala uchungu na huyo heart breaker, na ninachomshukuru mungu zaidi nina furaha na amani, na maisha yanaendelea vizuri.
Pamoja na hivo ninamshukuru mungu kwa sababu amenisamehe dhambi niliyokuwa nimeitenda, kwa sababu nilijidai ninampenda sana huyo mtu kuliko hata mungu, nikampa vyote, nafsi, roho na mwili. Wakati mwingine hata muda wa kwenda kuabudu ulipungua kwa kumpa huyo heart breaker muda mwingi zaidi.
baada ya tukio hilo,niliamua kujipa likizo ya kumpenda mwanaume, yani nikaziba madirisha yote ya kumkaribisha mwanaume moyoni mwangu.
siwachukii lakini nimejipa likizo kwa muda wa miaka mitano hivi, na sasa huu ni mwaka wa pili, ina maana bado miaka mitatu.
je uamuzi wangu wa kujipa likizo ni sahihi?
Najiona ninaweza kuendelea na likizo hadi miaka mitatu iliyobakia iishe, je ni kweli au
naidanganya nafsi yangu.
Angalizo marufuku kunitania broken heart!! Umesikia gy, asprin, tf, askofu na teamo t, bila kumsahau bigirita. Mjukuu mtiifu umesikia!! Na wewe st. Rr.