Babu zingatia nilichokisema.
Zingatia maswali yangu hapo juuuuuuuuuu!!!!!
Babu babuuuuuuuuuu.
ndo maana nakupenda na nitazidi kukupenda Samora10.....isingekuwa :A S 13::A S 13: ningeku:wink2::wink2:......basi ngoja tu niku:hug::hug::busu:busu
There you are........
Ulikuwa wapi siku zote?
Unajua dawa ya deni ni kulipa?
Unajua deni la babu lina riba?
Turudi kwenye mada:
Huyu LD kwa jinsi anavyoandika ni kuwa bado anampenda sana huyo mtu. Mtu mmeachana miaka miwili huko bado wamkumbuka wadhani masihara? Umesahau sisi wazee tumepitia kwingi?
Kuna mawili:
Huenda LD anaona aibu kumfuata Jamaa (anaogopa kuyarudia matapishi anayoyapenda)
Au amemfuata akakuta jamaa tayari ana ndoa yake na anaiheshimu ndoa yake.
hebu mwambie LD ni lipi kati ya hayo mawili linalomkabili babu amsaidie.
nitajaribu kumwelewesha binti yangu namna sahihi ya kuishi,muda sahihi wa kujiingiza kwenye mahusiano....na maamuzi sahihi ya kufanya akiwa ndani ya mahusiano
EE MUNGU NISAIDIE
....me more!
Orayt narudi kwenye maswali yako:
Hiyo likizo ya miaka mitano uliyojipa ni ya kumpenda mwanaume mwingine au huyo hatibreka wako?
Tuanze na hilo kwanza.
halafu ni we heartbroken? why with all this love from Samora? let the past remain the past....i will be loved even more by someone else.....:rain:
jamaa kaoa na LD hawezi wala hataki kuvuruga mahusiano ya watu,after all walishaachana kitambo....:rain:
Kwa mtaji huo nakushauri umalizie kifungo chako maana katikati hapa si salama kabisa kwako. Tafuta jambo la kukuweka bize na wala si kutafuta ushauri wa kuahirisha kifungoNije kufanya nini sasa. Sijipendiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!
Wala sitarajiiiiiiii kumkubali mtu aliyeweka tangazo. Najua mwenyewe ni mtu wa jinsi gani naweza kumkubali,hata kama yupo hapa.
Ahaaa...sasa ndio nakielewa kilio cha LD....anatamani mme wa mtu!
Sasa kama kashaoa what the hell is happening here?! Thread looooote hili la nini? Huyu jamaa kama yuko JF atatamba sana asee.
I hereby declare Thread CLOSED!
LD life goes on! it may take five yrs 4 u to settle with someone but don't just sit there counting it, do some filtration on the way!
Kumpenda mwanaume mwingine, tofauti kabisaaaaaaaaaaaaaaaaa
thats ma girl!
Tatizo ninyi Craps hamjanielewa!!!
Zingatia maswali yangu tafadhali, mi naongea likizo ninyi mnaongea mambo mengine.
ASprin, ST rr, na wenzio nieleweni basiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!
Tatizo ninyi Craps hamjanielewa!!!
Zingatia maswali yangu tafadhali, mi naongea likizo ninyi mnaongea mambo mengine.
ASprin, ST rr, na wenzio nieleweni basiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!
Kwa mtaji huo nakushauri umalizie kifungo chako maana katikati hapa si salama kabisa kwako. Tafuta jambo la kukuweka bize na wala si kutafuta ushauri wa kuahirisha kifungo
Sio kama hawakuelewi Mshiki, ni kwamba kupenda hakuna time frame!! utakua unajidanganya tu!!Tatizo ninyi Craps hamjanielewa!!!
Zingatia maswali yangu tafadhali, mi naongea likizo ninyi mnaongea mambo mengine.
ASprin, ST rr, na wenzio nieleweni basiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!
Hapo ndipo unapojidanganya
hapo ndipo unatudanganya.
Nani alikudanganya kupenda unaweza kujiwekea time frame? kwamba mi ntampenda mwanaume mwaka 2014? Over My dead Body.....Unacheza na nature wewe!
Hebu nenda kawadanganye wale jirani zako pale Tegeta Primary School..