D
DeletedMember281674
Guest
Inawezekana wengi wetu (waTanzania), kama nilivyokuwa mimi hatuwajui watu ambao ndio viongozi wa nchi hii kupitia chini ya CCM.
Hawa ndio wanapofanya kikao na kufanya maamuzi, taifa zima linazizima; kwa sababu maamuzi yaondiyo kila kitu kwa mwelekeo wa taifa hili.
Labda 'niqualify' tu kwamba ni "viongozi wanaojulikana". Hao wengine wasiojulikana, hiyo ni habari nyingine kabisa.
Hawa nitakaowaorodhesha hapa wamo ndani ya Kamati Kuu ya CCM, na pia ni ma-NEC wa chama hicho.
Niliamua kuwatafuta niwajue, nikiwa na nia ya kutaka kujuwa haya matatizo yetu ya kiutawala yanapoanzia.
Sasa na wewe itazame hiyo orodha, halafu ujiulize kama inakupa mwanga wowote wa kujuwa matatizo yetu yanatokana na nini.
Bila kujuwa chanzo cha tatizo, mara nyingi huwa vigumu kupata suluhisho la tatizo lenyewe.
Viongozi wetu kichama (CCM) na baadhi yao kitaifa ni hawa hapa:
1. Samia Suluhu Hassan: Mwenyekiti wa Chama na pia ni Rais (Haramu). Ni huyu huyu ndiye Mwenyekiti wa Central Committee na NEC
2. Stephen Wassira - Vice Chaiman for both CC and NEC
3. Hussein Mwinyi- Vice Chairman (both CC and NEC), and President of Zanzibar
4, Asha-Rose Migiro - Secretary General
5. Deputy Secretary General - Agrey Mwanri
6. Abdi Mahmud Abdi - Deputy Secretary General (Zanzibar).
7. Kenani Kihongosi - Secretary for Ideology, Publicity and Training
8 Rabia Hamid - Secretary for Political Affairs and International Relations
9. Paul Chacha - Secretary for Organization
10. Jamal Kassim - Secretary for Economic Affairs and Finance
3. EX- OFFIO AND APPOINTED MEMBERS
a) Samia Suluhu Hassan - President (Fake)
b) Mwigulu Nchemba - Prime Minister (Fake)
c) Musa Zungu - Speaker (Fake) of National Assembly
NOMINATED TOP CADRES, PROMINENT MPs AND GOVERNMENT FIGURES APPOINTED TO THE NEC:
a) Paul Makonda
b) Livingstone Lusinde
c)Asia Halamga
d) Khamis Mussa Omar
e) Tauhida Cassian Galos
4. REPRESENTATIVES OF CCM PARTY WINGS
a) ----------UVCCM
b) Jokate Mwegelo UWT
c) Wazazi Happi ----
5. REGIONAL AND SPECIAL CATEGORY MEMBERS
a) Regional CCM Chairs and Secretaries. Representatives from all administrative regions across both Mainland Tanzania and Zanzibar
b) Elected members by (National Congress) 40 members, Twenty from each side of the Union
Utaamua mwenyewe kuhusu uwezo wa watu hawa kufanya maamuzi mazito yanayolihusu taifa. Binafsi sioni watu wenye upeo na uwezo wa kuendesha taifa hili kwa ufanisi.
Nimeona MAHAKAMA hawamo; jambo ambalo ni gheresha tu; kwa sababu maamuzi yao sote tunajuwa ni hawa hawa wanaoisimamia mahakama hiyo. Vilaza kama hawa ndio wanaoamua hatma za watu.
Watu hawalijui hili, Katibu Mkuu wa CCM pia ni Mmoja wa jopo la washauri wa Rais katika masuala ya SIASA NCHINI kwahiyo ni mtu anayetakiwa kujua vizuri masuala ya SIASA na pia Mkuu wa Dawati la SIASA pale TEETH nae anatakiwa awe vizuri kichwani kwenye masuala yanayohusu siasa nchini.
Hawa watu wawili wakiwa kichwani wapo vizuri kwenye masuala ya SIASA basi siasa yetu nchini inakuwa murua kabisa hakuna kuuana, kutokana, kufuatiliana, nakadhalika