Hebu Tazama. Hii Ndiyo 'Cream' ya Uongozi wa Taifa Hili.



Watu hawalijui hili, Katibu Mkuu wa CCM pia ni Mmoja wa jopo la washauri wa Rais katika masuala ya SIASA NCHINI kwahiyo ni mtu anayetakiwa kujua vizuri masuala ya SIASA na pia Mkuu wa Dawati la SIASA pale TEETH nae anatakiwa awe vizuri kichwani kwenye masuala yanayohusu siasa nchini.

Hawa watu wawili wakiwa kichwani wapo vizuri kwenye masuala ya SIASA basi siasa yetu nchini inakuwa murua kabisa hakuna kuuana, kutokana, kufuatiliana, nakadhalika
 
Tukubali Tu kwamba ndio wanaotuongoza
 
Je huyo bibie nae anashaurika?
Si Bure hao wapowapo tu kama kivuli ila mshauri wake mkuu mwanae Abdul na Angela kizigha.
 
Dah! Hii ndio taasisi tunayoitegemea ituletee maendeleo duh, Mungu atusamehe kwa kweli maana hii ni hukumu yani, jehanum ya duniani!
 
Kazi kweli kweli...naona ni kama watu wasiotaka kukubali NYAKATI...kwa hali ya sasa, lazima wakubali MABADILIKO..muda haupo upande wao tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…