Patriot
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 5,705
- 4,703
Wewe naona huelewi kabisa!! Unanisimulia theory za katiba. Katiba inasema hivyo nawe unavyoona unapewa haki sawa na ya Tundu Lissu? Unataka Lissu apewe haki sawa na waziri mkuu? Serikali gani duniani inatoa haki kwa mtindo huo? Hukona Kikwete, tezi dume linampeleka US wakati wewe unaambiwa hospitali ya rufaa inakutosha?Mkuu sijui wewe ni wa nchi ipi lakini kwa mujibu wa katiba yetu uhai wa raia wote unadhamani sawa. Hakuna mwenye uhai wa thamani kuliko mwingine. Kuhusuu wachunguzi kutoka nnje serekali hakuambiwa igharamie walichoombwa ni kutoa kibali. Mheshimiwa kuhusu Lisu si anatibiwa kwa gharama isiyohusisha serekali. Pamoja na serekali kupewa ripoti lakini walio waita wangepewa yao pia.
Using'ang'anie katiba inasema hivi na vile, angalia uhalisia ukoje kote duniani.