Hebu tuitazame ZESCO ya Zambia na TANESCO ya Tanzania kisha tujiulize what went wrong

Uafrika hasa utanzania ni laana.

In abundance of water fools are always thirsty.

Wabongo wame laanika.
Mkuu, hatujalaanika. Tujifunze kuzuia kero na siyo kujifunza kutatua kero. Kila kiongozi anayechaguliwa anaongelea utatuzi wa kero kama sifa. Ila haelezi nani muasisi wa kero hizo na namna ya kuzizuia!!!.
Pia Mkuu, viongozi wetu wengi siyo wakweli hata kwenye mambo ya msingi.
Katiba mpya ni jawabu. Iweke vigezo bora vya kupata viongozi na siyo kumwachia mtu mmoja ateue viongozi nchi nzima. Ikitokea bahati mbaya mteuaji akawa mbovu, watakaoteuliwa lazima wafanane nae and viceversa.
 
Umewahi kuona msafara wa Rais wa Zambia ukilianganisha na wa bibi ushungi?
 
Wizi Tanzania unaanzia juu kushuka chini
 
Sababu ya uongozi mbovu wa CCM na washirika wake
 
Shida ya nchi hii ni kuwaacha wanasiasa watuongoze. Tunahitaji mapinduzi.
 
Ni aibu kwamba karne hii bado anakuja mgombea urais/ ubunge anakuambia atahakikisha unapata maji au umeme hivyo ni vitu basic ambavyo ilitakiwa viwepo tu.

Mleta uzi naomba kujua;

Zesco iliwahi kua na mkataba kama wa Tanesco na IPTL? Tanesco na Symbion? Escrow? Imewahi kutapeliwa na wanaZambia?
 
Mbona serikali ya Tz inajinadi baadae itauza umeme nje ikiwemo nchi ya zambia
 
Hapo Kwa kweli nchi zingine zipo mbali sana kwenye swala la umeme
 
Tumesema tatizo la tanesco sio waziri bali TZ inazalisha umeme kidogo usiokidhi mahitaji. Hiyo wizara hata apewe Malaika kama vyanzo ni hivi vilivyopo sasa itamshinda tu. Biteko kapewa jumba bovu litamuangukia nae sooner than later.

Back to Zambia, kama Wana umeme mwingi kiasi hicho kwanini hawauzi nje? Kwanini bado wapo nyuma sana, Zambia haina tofauti na Ileje. Waafrika wote tunafanana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…