Mama gani mjinga hivyo yaan mpaka leo miaka 3 anaunda serikali ,si bora bibi yangu kule kijijiniAlaumiwe nani hapo makamba au mama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama gani mjinga hivyo yaan mpaka leo miaka 3 anaunda serikali ,si bora bibi yangu kule kijijiniAlaumiwe nani hapo makamba au mama
Kwenye solar sio lazima battery. Kwani tukitumia mchana silar kuna ubaya gani. Usiku ni taa tu, hii nchi sio ya viwanda umeme asimia kubwa unatumika mchana. Umeme wa grid una battery ? Solar zizalishe umeme uingizwe moja kwa .oja kwenye grid . Hakyna haja ya battery labsa kama kuna uzalushaji uliopindukia.Huwezi kulinganisha Solar na Bwawa HEP Moja ni consistent unaweza ukaachia unapotaka production nyingine inahitaji storage..; Kinachotakiwa ni Energy Mix na katika Energy Mix hio Bwawa la Nyerere ndio kama Kiungo..., Solar inahitaji Storage na Storage mpaka leo bado ndio bottleneck; Storage ingekuwa rahisi huenda Jangwani wangetuzalishia umeme dunia nzima....
Tanzania tuna uwezo wa kuwauzia Africa nzima umeme tukiondoa Makupe na Serikali ambayo inalifanya hili Shirika kama Kibubu chake cha kujizolea Pesa
Jinsi ya kuifanya Kampuni ya Tanesco kuwa Kampuni Bora na ya Kujivunia Tanzania na Afrika kwa Ujumla
Mali ya UMMA kaka tuwe na uwezo wa kuwawajibisha hivi sasa ilivyo Serikali ndio inawafilisi kwa kutumia umeme bure na bila kulipa..., Nina uhakika wanaidai Serikali Pesa Lukuki...., na bado wanalazimishwa Nina wasiwasi na sisi wa tz....idea yako ni nzuri ila kila mtu akabidhiwe rungu la kufunga...www.jamiiforums.com
Unajua umeme unaotumika Rukwa tunduma songwe unatoka wap??
Unadhani hata mchana ni consistent ? Na vipi hali ya hewa ikibadilika; Umeme ukishazalisha inabidi utumike instantly kwahio kama matumizi ni kiasi fulani alafu mchana una kiasi kikubwa usiku una robo ya hio ni wastage kubwa unaongelea usiku umeme hautumiki vipi watu kupika jioni n.k. kwahio utaona kwamba Grid zote huwa zinahitaji balance ambayo ni consistentKwenye solar sio lazima battery. Kwani tukitumia mchana silar kuna ubaya gani. Usiku ni taa tu, hii nchi sio ya viwanda umeme asimia kubwa unatumika mchana.
Wanazalisha kulingana na capacity wanajua kabisa labda mahitaji ni 8MW kwahio mashine zinakuwa na capacity hio; tofauti hio grid ni consistent na better still HEP inaweza kutumika kama battery kwa kutumia excess ya offpeak kupump maji ili yatumike tena peak timesUmeme wa grid una battery ?
Unarudi pale pale solar zizalishe kama uingie moja kwa moja kwenye GRID kama kuna storage sababu matumizi ya kiwa 8MW alafu tuna 7MW mchana solar zikaingiza 30MW hio ni wastage wala haina faida yoyote sababu usiku tutabaki tuna less pili hata mchana sio masaa yote 12 generation ni peak..., Ndio maana nikasema ili kupata faida ya Solar na kila mtu / mtanzania aweze kuzalisha kwa kuwa na Smart Meter tutahitaji Bwawa la Nyerere kutumika kama Battery..... Kama nilivyoelezea hapa kwa Marefu na Mapana....Solar zizalishe umeme uingizwe moja kwa .oja kwenye grid . Hakyna haja ya battery labsa kama kuna uzalushaji uliopindukia.
Washenzi tu hao.Umenena ukweli usio na shaka, yaani mtu anatuhuma za kuiba mitihani ndo waziri, hivi ni vichekesho, Kuna mmoja ni CEO wa kampuni yetu, wanadai alipata zero mtihani wa kidato Cha Nne, lakini Cha kushangaza alipata degree na masters na sasa ni Honorable causa
Jibu simple tu tatizo ni ccm1. Zesco ni shirika la umeme Zambia kama ilivyo TANESCO ya Tanzania.
2. Zesco wana umeme ama wanazalisha umeme unakaribia Megawati 3700 ama 3.7GW huku Tanesco ikizalisha umeme uziozidi megawati 1700.
3. Zambia ina watu wasiozidi 20M, Tanzania ina watu zaidi ya milioni 61.
4. Zesco ama Zambia 80% ya umeme wao ni wa maji, 20% ndio makaa ya mawe, mafuta mazito na thermal. Tanzania 31% ni maji, 50% Gesi na vyanzo vingine.
5. 2024 Zesco watawasha/commissioning umeme wa Solar wa Megawati 2,000 mjini Lusaka, sawa na Bwawa la Mwalimu Nyerere hapa Tanzania. Tanzania tunategemea Bwawa la Mwalimu Nyerere mwaka 2024.
6. Zambia ama Zesco watarajia kua na umeme unazidi Megawati 7,000 kwa mwaka 2026 Tanzania bado tutakua na Megawati 3,700 baada ya mwalimu Nyerere.
7. Wakati Wazambia wakibuni na kuendeleza vyanzo vipya vya umeme kama Maji, makaa ya mawe nk. Tanzania haina mradi wa hivi karibuni wa kuzalisha umeme kwa miaka 2 ama 3 ijayo. Kama ipo badi hata kuanza bado.
8. Ukiacha Burundi na Rwanda, hakuna nchi kusini mwa jangwa la sahara ambayo Tanzania inaizidi uwezo wa kuzalisha umeme.
9. Swali, je wakati wenzetu wanaongeza vyanzo vipya vya umeme sisi Tulikua wapi?
Makamba na Maharage kwa miaka 2 wameshindwa kuendeleza hata mradi mmoja wa megawati 10 pale Tanesco, kila siku ilikua ni publicity na media coverage, haijawahi kutokea, haijawahi kutokea kwa miaka 2. Wameondoka hakuna legacy yoyote walioacha pale.
Shida iko wapi wakuu, kama taifa tunakwama wapi?
CCM ni Laana ya Nchi1. Zesco ni shirika la umeme Zambia kama ilivyo TANESCO ya Tanzania.

Mkuu ungeweka na bei ya Umeme Zambia Tsh 5000 ya Tanzania unapata karibu unit 98 na muda mwingine wanatoa Bonus zinafika 110 unapika kwa kutumia Jiko la umeme na vitu vingine vipo unafika mwezi mzima kwa matumizi wanatushangaa huku kuwa Matumizi ya Umeme kuwa juu kama tupo Hong Kong...wanasema Tanzania maisha yapo ghari sana
Na siku wakiruhusu hilo taneaco itakufilia mbaliIwe soko huria tu hadi kwenye umeme..
Mkuu mimi natumia K 30 ambayo ni sawa na Tsh 5000 napata unit 80 na sizimi fridge na kettle natumia kila siku zinabaki unit 50 natumia kama unit 30 tuu hivi niongee uongo zisaidie nini Zambia life ipo chini sana tofauti na Tanzania nina mtoto nilimsomesha Zambia hataki kurudi Tanzania ni Dr anafanya kazi Nakonde tuu hapo Jirani na Mbeya alipangwa Lusaka akatafuta uhamisho wa hapa karibu akija Tanzania anawaambia ndugu zake waende huko maana life ipo chini sana..Acha kupotosha….huwezi pata unit 98 kwa 5000…umeme wa 50,000 unapata unit 136.1
Shida iko hivi;1. Zesco ni shirika la umeme Zambia kama ilivyo TANESCO ya Tanzania.
2. Zesco wana umeme ama wanazalisha umeme unakaribia Megawati 3700 ama 3.7GW huku Tanesco ikizalisha umeme uziozidi megawati 1700.
3. Zambia ina watu wasiozidi 20M, Tanzania ina watu zaidi ya milioni 61.
4. Zesco ama Zambia 80% ya umeme wao ni wa maji, 20% ndio makaa ya mawe, mafuta mazito na thermal. Tanzania 31% ni maji, 50% Gesi na vyanzo vingine.
5. 2024 Zesco watawasha/commissioning umeme wa Solar wa Megawati 2,000 mjini Lusaka, sawa na Bwawa la Mwalimu Nyerere hapa Tanzania. Tanzania tunategemea Bwawa la Mwalimu Nyerere mwaka 2024.
6. Zambia ama Zesco watarajia kua na umeme unazidi Megawati 7,000 kwa mwaka 2026 Tanzania bado tutakua na Megawati 3,700 baada ya mwalimu Nyerere.
7. Wakati Wazambia wakibuni na kuendeleza vyanzo vipya vya umeme kama Maji, makaa ya mawe nk. Tanzania haina mradi wa hivi karibuni wa kuzalisha umeme kwa miaka 2 ama 3 ijayo. Kama ipo badi hata kuanza bado.
8. Ukiacha Burundi na Rwanda, hakuna nchi kusini mwa jangwa la sahara ambayo Tanzania inaizidi uwezo wa kuzalisha umeme.
9. Swali, je wakati wenzetu wanaongeza vyanzo vipya vya umeme sisi Tulikua wapi?
Makamba na Maharage kwa miaka 2 wameshindwa kuendeleza hata mradi mmoja wa megawati 10 pale Tanesco, kila siku ilikua ni publicity na media coverage, haijawahi kutokea, haijawahi kutokea kwa miaka 2. Wameondoka hakuna legacy yoyote walioacha pale.
Shida iko wapi wakuu, kama taifa tunakwama wapi?
Unamaanisha nini hapo kwenye bold ink? Je, una maana ZESCO ni kampuni ya Ki - China??Unafahamu kuwa ZESCO ni kampuni ya kichini inayofanya Biashara ya Umeme ZAMBIA?
Hayupo sahihi Zambia na Zimbabwe wanapata Umeme wa Maji kwa gharama nafuu kutoka Maporomoko ya Victoria Falls na kariba Dam na pia hawana Tozo kwenye kununua Umeme yaani umeme ni bidhaa ambayo Serikali inatoa kwa Wananchi wake kwa gharama nafuu sana sasa hawa wafia Chama wao wapo busy kukataa wakiamini hili swala lipo kisiasa wakati ni mambo ya kitaalamu zaidi...unanunua umeme na Kodi sijui ya Ardhi ipo humo humo utapata Unit za kutosha kweli? Walitamani hata mbio za Mwenge watu wachangie kupitia Umeme subiri Mzee wa Tozo akiiibuka utasikia..Unamaanisha nini hapo kwenye bold ink? Je, una maana ZESCO ni kampuni ya Ki - China??
Duuh, you're absolutely a dumbster...!
By the way, if that's the case, then what's the big deal?
Kama Ishu ni "u - China", then kwanini msiwape wa - China hiyo TANESCO kama hiyo ndiyo itakuwa suluhisho la reliable electricity power supply hapa nchini?
Hizo akili sio huku kwetu na upigaji aachiwe nani[emoji846]1. Zesco ni shirika la umeme Zambia kama ilivyo TANESCO ya Tanzania.