Hebu tuitazame ZESCO ya Zambia na TANESCO ya Tanzania kisha tujiulize what went wrong

Mkuu ungeweka na bei ya Umeme Zambia Tsh 5000 ya Tanzania unapata karibu unit 98 na muda mwingine wanatoa Bonus zinafika 110 unapika kwa kutumia Jiko la umeme na vitu vingine vipo unafika mwezi mzima kwa matumizi wanatushangaa huku kuwa Matumizi ya Umeme kuwa juu kama tupo Hong Kong...wanasema Tanzania maisha yapo ghari sana
Dah
 
Duh...
Hii hatari kama takwimu ni za kweli... tuna tatizo kubwa zaidi...
 
1. Zesco ni shirika la umeme Zambia kama ilivyo TANESCO ya Tanzania.

2. Zesco wana umeme ama wanazalisha umeme unakaribia Megawati 3700 ama 3.7GW huku Tanesco ikizalisha umeme uziozidi megawati 1700.

3. Zambia ina watu wasiozidi 20M, Tanzania ina watu zaidi ya milioni 61.

4. Zesco ama Zambia 80% ya umeme wao ni wa maji, 20% ndio makaa ya mawe, mafuta mazito na thermal. Tanzania 31% ni maji, 50% Gesi na vyanzo vingine.

5. 2024 Zesco watawasha/commissioning umeme wa Solar wa Megawati 2,000 mjini Lusaka, sawa na Bwawa la Mwalimu Nyerere hapa Tanzania. Tanzania tunategemea Bwawa la Mwalimu Nyerere mwaka 2024.

6. Zambia ama Zesco watarajia kua na umeme unazidi Megawati 7,000 kwa mwaka 2026 Tanzania bado tutakua na Megawati 3,700 baada ya mwalimu Nyerere.

7. Wakati Wazambia wakibuni na kuendeleza vyanzo vipya vya umeme kama Maji, makaa ya mawe nk. Tanzania haina mradi wa hivi karibuni wa kuzalisha umeme kwa miaka 2 ama 3 ijayo. Kama ipo badi hata kuanza bado.

8. Ukiacha Burundi na Rwanda, hakuna nchi kusini mwa jangwa la sahara ambayo Tanzania inaizidi uwezo wa kuzalisha umeme.

9. Swali, je wakati wenzetu wanaongeza vyanzo vipya vya umeme sisi Tulikua wapi?

Makamba na Maharage kwa miaka 2 wameshindwa kuendeleza hata mradi mmoja wa megawati 10 pale Tanesco, kila siku ilikua ni publicity na media coverage, haijawahi kutokea, haijawahi kutokea kwa miaka 2. Wameondoka hakuna legacy yoyote walioacha pale.

Shida iko wapi wakuu, kama taifa tunakwama wapi?
Vitu vingine vinasikitisha katika hii Nchi, wakati mwingine unaamua usijishughulishe na mambo ya Nchi hii. Haiingii akilini TANESCO wanafanya biashara tena isiyo na mkopo. Yaani LUKU ikiisha ndio basi tena lakini kila siku kutegemea Ruzuku kutoka serikalini ili waanzishe miradi mipya. Wamejaa ubinafsi, hujuma na kutojali kabisa. Yaani Wizara ya Nishati na ile ya maji hovyo kabisa. Wakati mwingine bora kuchukua wafanyabiashara waendeshe haya mashirika kuliko hao tunaowaita wasomi njaa.
 
Tanzania mambo inayoweza kuyafanya kwa ufanisi na yakakamilika kwa Asilimia 💯 ni

1.Ngono.
2.Ulevi
3.Uongo
4.Chuki
5.Wizi
6.Ufisadi

Haya mambo mtanzania atafanya kwa ukamilifu kabisa pasipo shaka lakini si mambo ya maendeleo ya Taifa
Umesahau na chips yai mkuu.
 
Tanzania mambo inayoweza kuyafanya kwa ufanisi na yakakamilika kwa Asilimia [emoji817] ni

1.Ngono.
2.Ulevi
3.Uongo
4.Chuki
5.Wizi
6.Ufisadi

Haya mambo mtanzania atafanya kwa ukamilifu kabisa pasipo shaka lakini si mambo ya maendeleo ya Taifa
Hizi tabia wananchi wanaiga kwa viongozi wao
Nmeona halmashauri Fulani karibu wote walioajiriwa pale muda mingi story zao wanaongelea ngono na jinsi yakuwapata wanawake na wanaume
Mtu kama huyo hawez kukuelewa kuhusu umeme wa tz na Zambia
 
Tumesema tatizo la tanesco sio waziri bali TZ inazalisha umeme kidogo usiokidhi mahitaji. Hiyo wizara hata apewe Malaika kama vyanzo ni hivi vilivyopo sasa itamshinda tu. Biteko kapewa jumba bovu litamuangukia nae sooner than later.

Back to Zambia, kama Wana umeme mwingi kiasi hicho kwanini hawauzi nje? Kwanini bado wapo nyuma sana, Zambia haina tofauti na Ileje. Waafrika wote tunafanana.
Unajua umeme unaotumika Rukwa tunduma songwe unatoka wap??
 
Viongozi wa Tanzania huwa wana raha sana,maana ni kama wanaongoza Maiti-Mkuu wa Nchi anaweza kumwagiza Governor wa Bank kuu atoe hela na zikatoka.
Swala la nishati Tanzania ndipo Rais wa Nchi na maswaiba wao wanapopatia ulaji na haya majanga ya upigaji kwenye Nishati na maliasili yalianza toka 1994 Kikwete alipokuwa Waziri wa Nishati na Maliasili.
 
Tumesema tatizo la tanesco sio waziri bali TZ inazalisha umeme kidogo usiokidhi mahitaji. Hiyo wizara hata apewe Malaika kama vyanzo ni hivi vilivyopo sasa itamshinda tu. Biteko kapewa jumba bovu litamuangukia nae sooner than later.

Back to Zambia, kama Wana umeme mwingi kiasi hicho kwanini hawauzi nje? Kwanini bado wapo nyuma sana, Zambia haina tofauti na Ileje. Waafrika wote tunafanana.
Ni vituko.

Zambia wana umeme mwingi ila wote unaishia kwenye soko la ndani na 80%+ ni viwanda vya dhahabu na almasi.

Electricity accessibility zambia iko 43%. Tanzania electricity accessibility ni zaidi ya 65% lakini hakuna umeme😂.
 
1. Zesco ni shirika la umeme Zambia kama ilivyo TANESCO ya Tanzania.

2. Zesco wana umeme ama wanazalisha umeme unakaribia Megawati 3700 ama 3.7GW huku Tanesco ikizalisha umeme uziozidi megawati 1700.

3. Zambia ina watu wasiozidi 20M, Tanzania ina watu zaidi ya milioni 61.

4. Zesco ama Zambia 80% ya umeme wao ni wa maji, 20% ndio makaa ya mawe, mafuta mazito na thermal. Tanzania 31% ni maji, 50% Gesi na vyanzo vingine.

5. 2024 Zesco watawasha/commissioning umeme wa Solar wa Megawati 2,000 mjini Lusaka, sawa na Bwawa la Mwalimu Nyerere hapa Tanzania. Tanzania tunategemea Bwawa la Mwalimu Nyerere mwaka 2024.

6. Zambia ama Zesco watarajia kua na umeme unazidi Megawati 7,000 kwa mwaka 2026 Tanzania bado tutakua na Megawati 3,700 baada ya mwalimu Nyerere.

7. Wakati Wazambia wakibuni na kuendeleza vyanzo vipya vya umeme kama Maji, makaa ya mawe nk. Tanzania haina mradi wa hivi karibuni wa kuzalisha umeme kwa miaka 2 ama 3 ijayo. Kama ipo badi hata kuanza bado.

8. Ukiacha Burundi na Rwanda, hakuna nchi kusini mwa jangwa la sahara ambayo Tanzania inaizidi uwezo wa kuzalisha umeme.

9. Swali, je wakati wenzetu wanaongeza vyanzo vipya vya umeme sisi Tulikua wapi?

Makamba na Maharage kwa miaka 2 wameshindwa kuendeleza hata mradi mmoja wa megawati 10 pale Tanesco, kila siku ilikua ni publicity na media coverage, haijawahi kutokea, haijawahi kutokea kwa miaka 2. Wameondoka hakuna legacy yoyote walioacha pale.

Shida iko wapi wakuu, kama taifa tunakwama wapi?
Ccm ni wangese sana utasikia tulinde amani yetu huku wakikwapua mabilioni ya walalahoi
 
Ni aibu kwamba karne hii bado anakuja mgombea urais/ ubunge anakuambia atahakikisha unapata maji au umeme hivyo ni vitu basic ambavyo ilitakiwa viwepo tu.

Mleta uzi naomba kujua;

Zesco iliwahi kua na mkataba kama wa Tanesco na IPTL? Tanesco na Symbion? Escrow? Imewahi kutapeliwa na wanaZambia?
Hawajawahi kua na mikataba ya kimangungo.
 
Kwanza ukumbuke kwamba Makamba na maharage ni vilaza waliokutanishwa Tanesco na Mama SAMIA, ktk kichwa cha kilaza,jumlisha degree na masters za mchongo LAZIMA jibu liwe ni sifuri.Pili ss Tanzania mpaka dakika hii akili inayotumika kuongoza nchi ni ya vilaza watupu wasio na jipya wala creativity yoyote.Tatu hatujapata nafasi ya kubadilisha chama kuongoza hivyo kupata akili mbadala kwa ajili ya maendeleo.Hayo ndio yanalitesa Taifa nchi imeatamiwa na vilaza na wapumbavu wasio akili ya kujenga nchi.
Huyo mama hapo juu ndo shida kwakweli yupo yupo tu kama mwanasesere
 
Umenena ukweli usio na shaka, yaani mtu anatuhuma za kuiba mitihani ndo waziri, hivi ni vichekesho, Kuna mmoja ni CEO wa kampuni yetu, wanadai alipata zero mtihani wa kidato Cha Nne, lakini Cha kushangaza alipata degree na masters na sasa ni Honorable causa
Kaam unamzungumzia nape vie maan ndo mwenye hizo sifa
 
Huwezi kulinganisha Solar na Bwawa HEP Moja ni consistent unaweza ukaachia unapotaka production nyingine inahitaji storage..; Kinachotakiwa ni Energy Mix na katika Energy Mix hio Bwawa la Nyerere ndio kama Kiungo..., Solar inahitaji Storage na Storage mpaka leo bado ndio bottleneck; Storage ingekuwa rahisi huenda Jangwani wangetuzalishia umeme dunia nzima....

Tanzania tuna uwezo wa kuwauzia Africa nzima umeme tukiondoa Makupe na Serikali ambayo inalifanya hili Shirika kama Kibubu chake cha kujizolea Pesa

Mkuu nimelinganisha generation capacity ya 2000mw na sio urahisi ama ugumu wa mtambo wa umeme ama solar.
 
1. Zesco ni shirika la umeme Zambia kama ilivyo TANESCO ya Tanzania.

2. Zesco wana umeme ama wanazalisha umeme unakaribia Megawati 3700 ama 3.7GW huku Tanesco ikizalisha umeme uziozidi megawati 1700.

3. Zambia ina watu wasiozidi 20M, Tanzania ina watu zaidi ya milioni 61.

4. Zesco ama Zambia 80% ya umeme wao ni wa maji, 20% ndio makaa ya mawe, mafuta mazito na thermal. Tanzania 31% ni maji, 50% Gesi na vyanzo vingine.

5. 2024 Zesco watawasha/commissioning umeme wa Solar wa Megawati 2,000 mjini Lusaka, sawa na Bwawa la Mwalimu Nyerere hapa Tanzania. Tanzania tunategemea Bwawa la Mwalimu Nyerere mwaka 2024.

6. Zambia ama Zesco watarajia kua na umeme unazidi Megawati 7,000 kwa mwaka 2026 Tanzania bado tutakua na Megawati 3,700 baada ya mwalimu Nyerere.

7. Wakati Wazambia wakibuni na kuendeleza vyanzo vipya vya umeme kama Maji, makaa ya mawe nk. Tanzania haina mradi wa hivi karibuni wa kuzalisha umeme kwa miaka 2 ama 3 ijayo. Kama ipo badi hata kuanza bado.

8. Ukiacha Burundi na Rwanda, hakuna nchi kusini mwa jangwa la sahara ambayo Tanzania inaizidi uwezo wa kuzalisha umeme.

9. Swali, je wakati wenzetu wanaongeza vyanzo vipya vya umeme sisi Tulikua wapi?

Makamba na Maharage kwa miaka 2 wameshindwa kuendeleza hata mradi mmoja wa megawati 10 pale Tanesco, kila siku ilikua ni publicity na media coverage, haijawahi kutokea, haijawahi kutokea kwa miaka 2. Wameondoka hakuna legacy yoyote walioacha pale.

Shida iko wapi wakuu, kama taifa tunakwama wapi?
Ccm mbere kwa mbere
 
Saa hv tunazalisha 1900MW,JNHPP ikikamilika mwakan tutakuwa kwenye 4015MW+
 
Chande baada aangalie anapata vip umeme yeye anatengeneza urahisi wa wateja kupata umeme

Sasa wapate umeme upi??

2 Mheshimiwa Rais anapofanya teuzi zake basi aangalie pia watu waliosomea jambo husika
Wenye elimu juu ya jambo hilo
Sasa mtu hata maana ya umeme hajui afu unampa kazi hiyo hiyo je tutafanikiwa?
Hebu tuache siasa kwenye maendelea thabiti ya nchi

50-60% ya kazi zote za mwanadamu wa sasa ni umeme
Hivyo nchi inahitaji kuwekeza kwenye umeme!
Tupate umeme wa uhakika afu ndipo tuwaze mengine
Raisi yup mpaka unawimta mheshimu huoni aibu ,raisi limekaa tuu kazia kutafuta attention kwenye michezo mara kununua magoli
 
Kwanza ni ni ujinga wetu kuacha makaa ya mawe kuzalisha umeme. Nchi za magharibi wanavunja mioyo nchi changa wasiendeleze mkaa kuzalisha umeme eti kuhifadhi mazingira. Wenyewe wametumia makaa kuzalisha umeme kwa miaka mingi bila kujali mazingira na hadi sasa uchina hawamsikilizi mtu wanazalisha umeme kiasi kikubwa kwa mkaa.
Mkaa ni mali ila kwa ujinga na ukasuku tunaacha kuutumia kuzalisha umeme kwa kua eti wazungu wanapiga kelele kuhudu mazingira. Sisi hatujaharibu mazingira yetu kwa kiwango cha eti tuache matumizi ya mkaa kuzalisha umeme.
Mkiongozwa na aina ya watu wenye fikira kama kina januari na maharage aliyekua tanesco lazima waamini na kufuata chochote wanasema wazungu.
Wazungu wamezuia nchi masikini wasitumie makaa ya mawe wakati wao wanatumia. Ujerumani ilizima vinu vya makaa ya mawe miaka 20 iliyopita ila imeviwasha tena juzi. Sisi tuna reserve ya kutosha ya makaa ya mawe ila tumezuiwa ili tununue mitambo yao ya gesi ya gharama.
 
Back
Top Bottom