Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zambia kingereza hakipo?Tatizo ni kiingereza
ukiona mtu anatoa kauli kama hiyo ujue anavuta bangiMbona serikali ya Tz inajinadi baadae itauza umeme nje ikiwemo nchi ya zambia
Nani kukudanganya ulienda Ndola unafikiri Ndio Zambia ileTumesema tatizo la tanesco sio waziri bali TZ inazalisha umeme kidogo usiokidhi mahitaji. Hiyo wizara hata apewe Malaika kama vyanzo ni hivi vilivyopo sasa itamshinda tu. Biteko kapewa jumba bovu litamuangukia nae sooner than later.
Back to Zambia, kama Wana umeme mwingi kiasi hicho kwanini hawauzi nje? Kwanini bado wapo nyuma sana, Zambia haina tofauti na Ileje. Waafrika wote tunafanana.
Huwezi kulinganisha Solar na Bwawa HEP Moja ni consistent unaweza ukaachia unapotaka production nyingine inahitaji storage..; Kinachotakiwa ni Energy Mix na katika Energy Mix hio Bwawa la Nyerere ndio kama Kiungo..., Solar inahitaji Storage na Storage mpaka leo bado ndio bottleneck; Storage ingekuwa rahisi huenda Jangwani wangetuzalishia umeme dunia nzima....5. 2024 Zesco watawasha/commissioning umeme wa Solar wa Megawati 2,000 mjini Lusaka, sawa na Bwawa la Mwalimu Nyerere hapa Tanzania. Tanzania tunategemea Bwawa la Mwalimu Nyerere mwaka 2024.
Hakuna lisilokosa mwisho.
Kweli aiseeukiona mtu anatoa kauli kama hiyo ujue anavuta bangi
Kwa Watanzania wanaouliza jinsi ya kufika Tabora au Mtwara kila kukicha unaweza kuwaambia chochote tu na wakaamini...Kuna kipindi ilisemwa tunawauzia umeme Zambia ila kwao umeme ni bei chini kuliko sisi
it is not all roses in Zambia (source: Google search)1. Zesco ni shirika la umeme Zambia kama ilivyo TANESCO ya Tanzania.
2. Zesco wana umeme ama wanazalisha umeme unakaribia Megawati 3700 ama 3.7GW huku Tanesco ikizalisha umeme uziozidi megawati 1700.
Imani ya kikristo?Zambia inaongozwa kwa misingi ya Imani ya kikristo na uaminifu ni mkubwa sana miongoni mwao
Wameweka elimu na utaalamu mbele ujanja ujanja hakuna
Mkuu ni sheria kwao Rais lazima awe mkiristo jamaa Wana uaminifu balaa na wanachukia ujanja ujanjaImani ya kikristo?
Jana umekuja uzi wa waZambia kumuua mTanzania kwa tuhuma za ushirikina