Hebu tuitazame ZESCO ya Zambia na TANESCO ya Tanzania kisha tujiulize what went wrong

Dah
 
Duh...
Hii hatari kama takwimu ni za kweli... tuna tatizo kubwa zaidi...
 
Vitu vingine vinasikitisha katika hii Nchi, wakati mwingine unaamua usijishughulishe na mambo ya Nchi hii. Haiingii akilini TANESCO wanafanya biashara tena isiyo na mkopo. Yaani LUKU ikiisha ndio basi tena lakini kila siku kutegemea Ruzuku kutoka serikalini ili waanzishe miradi mipya. Wamejaa ubinafsi, hujuma na kutojali kabisa. Yaani Wizara ya Nishati na ile ya maji hovyo kabisa. Wakati mwingine bora kuchukua wafanyabiashara waendeshe haya mashirika kuliko hao tunaowaita wasomi njaa.
 
Tanzania mambo inayoweza kuyafanya kwa ufanisi na yakakamilika kwa Asilimia 💯 ni

1.Ngono.
2.Ulevi
3.Uongo
4.Chuki
5.Wizi
6.Ufisadi


Haya mambo mtanzania atafanya kwa ukamilifu kabisa pasipo shaka lakini si mambo ya maendeleo ya Taifa
Umesahau na chips yai mkuu.
 
Tanzania mambo inayoweza kuyafanya kwa ufanisi na yakakamilika kwa Asilimia [emoji817] ni

1.Ngono.
2.Ulevi
3.Uongo
4.Chuki
5.Wizi
6.Ufisadi


Haya mambo mtanzania atafanya kwa ukamilifu kabisa pasipo shaka lakini si mambo ya maendeleo ya Taifa
Hizi tabia wananchi wanaiga kwa viongozi wao
Nmeona halmashauri Fulani karibu wote walioajiriwa pale muda mingi story zao wanaongelea ngono na jinsi yakuwapata wanawake na wanaume
Mtu kama huyo hawez kukuelewa kuhusu umeme wa tz na Zambia
 
Unajua umeme unaotumika Rukwa tunduma songwe unatoka wap??
 
Viongozi wa Tanzania huwa wana raha sana,maana ni kama wanaongoza Maiti-Mkuu wa Nchi anaweza kumwagiza Governor wa Bank kuu atoe hela na zikatoka.
Swala la nishati Tanzania ndipo Rais wa Nchi na maswaiba wao wanapopatia ulaji na haya majanga ya upigaji kwenye Nishati na maliasili yalianza toka 1994 Kikwete alipokuwa Waziri wa Nishati na Maliasili.
 
Ni vituko.

Zambia wana umeme mwingi ila wote unaishia kwenye soko la ndani na 80%+ ni viwanda vya dhahabu na almasi.

Electricity accessibility zambia iko 43%. Tanzania electricity accessibility ni zaidi ya 65% lakini hakuna umeme😂.
 
Ccm ni wangese sana utasikia tulinde amani yetu huku wakikwapua mabilioni ya walalahoi
 
Hawajawahi kua na mikataba ya kimangungo.
 
Huyo mama hapo juu ndo shida kwakweli yupo yupo tu kama mwanasesere
 
Kaam unamzungumzia nape vie maan ndo mwenye hizo sifa
 
Mkuu nimelinganisha generation capacity ya 2000mw na sio urahisi ama ugumu wa mtambo wa umeme ama solar.
 
Ccm mbere kwa mbere
 
Saa hv tunazalisha 1900MW,JNHPP ikikamilika mwakan tutakuwa kwenye 4015MW+
 
Raisi yup mpaka unawimta mheshimu huoni aibu ,raisi limekaa tuu kazia kutafuta attention kwenye michezo mara kununua magoli
 
Wazungu wamezuia nchi masikini wasitumie makaa ya mawe wakati wao wanatumia. Ujerumani ilizima vinu vya makaa ya mawe miaka 20 iliyopita ila imeviwasha tena juzi. Sisi tuna reserve ya kutosha ya makaa ya mawe ila tumezuiwa ili tununue mitambo yao ya gesi ya gharama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…