Hebu tujadili kwa haki kuhusu hili. Unaweza kukubali mumeo/mkeo ashikwe hivi??

Hebu tujadili kwa haki kuhusu hili. Unaweza kukubali mumeo/mkeo ashikwe hivi??

Picha za photo shoot hizo, usikute hata Bilnas alikuwa pembeni na ndio alikua anaelekeza. Kawaida kama psa yako inapatikana kwa kazi hizo
 
Mbona hiyo kawaida😂😂. Si ndio huwa tunakumbatiana hivo tukiwa tumeketi na mmoja kasimama? Tena huwa inasindikizwa na kamlio “mmm mmmhh””
Wivu sinaaa ila roho inaumaaa beibeee! 😂

Mambo ya mke kuwa na Magonga kuliko mumewe ndio madhara yake haya...
 
Kwa mahusiano ya sasa hivi yalivyo hapo inabidi upate mashaka kidogo hata kama ni kazi wanafanya 😁😁
 
Hata akiliwa fresh tu kikubwa nsijue maaana timua ntayomtimua hataaamini kama ni mimi
 
Girlfriend ni sawa, ila mke ni big NO!
 
Shekeli, Money, Fedha, Mshiko, Dow, Kibunda, Maokoto, Mkaja, Penenge,Ngawira...call it whatever 😂
Hiyo kitu ina majina mengi hatari.

Kwani Extrovert hiyo hug hauijui,?
 
Back
Top Bottom