Tupo wengi.Ni kwangu tu au? Nikitumia JF app picha huwa haifunguki
Hahahahha kwamba sasa hivi hayo mambo mengine yamestop kwanza mpaka onesho litokee๐๐Onesho litakuwa wapi nifanye chap niwaze mambo mengine.
Tatizo ni nini?Tupo wengi.
Wivu sinaaa ila roho inaumaaa beibeee! ๐Mbona hiyo kawaida๐๐. Si ndio huwa tunakumbatiana hivo tukiwa tumeketi na mmoja kasimama? Tena huwa inasindikizwa na kamlio โmmm mmmhhโโ
Mambo ya Kidhung๐๐
Kwa wote mi hata zile nazotuma mwenyewe hazifungukiNi kwangu tu au? Nikitumia JF app picha huwa haifunguki
DuhHapo na kuloa kaloa๐ฅด
Halafu wako deepWapo kazini jamani
Magonga ndio nini??Wivu sinaaa ila roho inaumaaa beibeee! ๐
Mambo ya mke kuwa na Magonga kuliko mumewe ndio madhara yake haya...
Shekeli, Money, Fedha, Mshiko, Dow, Kibunda, Maokoto, Mkaja, Penenge,Ngawira...call it whatever ๐Magonga ndio nini??
Hiyo kitu ina majina mengi hatari.Shekeli, Money, Fedha, Mshiko, Dow, Kibunda, Maokoto, Mkaja, Penenge,Ngawira...call it whatever ๐
Naaam ndio ndio mpaka kihappen ๐Hahahahha kwamba sasa hivi hayo mambo mengine yamestop kwanza mpaka onesho litokee๐๐