tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Hii itafutwa believe meHivi unaijua elimu ya Rais Samia kwa mtaala Tanzania?
Hivi mnajua kuwa hata kidato cha nne hakufaulu?
Hivi mnajua huyu ndiye Rais wetu na hii ndiyo level yake ya elimu?
Baada ya hapo akaenda chuo kikuu cha mzumbe kusomea diploma ya utumishi wa umma.
Soma pia: Polepole: Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali
View attachment 3444855
The birds of a feather flock together!Kwamba Yeye na Bashite Yale yale!
Kama hafai asipewe kuraDah!Mtamuua huyo bibi.Mumpumzishe.
wewe huna matatizo?Wewe unatfuta matatizo mkuu
Wenyewe wanasema hawahitaji vijikaratasi viwapeleke ikulu.Wana njia mbadala.Kama hafai asipewe kura
Nasikia na FAM alibashite 4M6Wenyewe wanasema hawahitaji vijikaratasi viwapeleke ikulu.Wana njia mbadala.
Basi tunatayizo kubws kuliko elimu ya mgombea, tutibu tatizo kwanzaWenyewe wanasema hawahitaji vijikaratasi viwapeleke ikulu.Wana njia mbadala.
Africa is a vice versa continent,aliyesoma sana ndiye anakuwa wa hovyo zaidi ya yule mwenye elimu ya diploma,Hivi unaijua elimu ya Rais Samia kwa mtaala Tanzania?
Hivi mnajua kuwa hata kidato cha nne hakufaulu?
Hivi mnajua huyu ndiye Rais wetu na hii ndiyo level yake ya elimu?
Baada ya hapo akaenda chuo kikuu cha mzumbe kusomea diploma ya utumishi wa umma.
Soma pia: Polepole: Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali
View attachment 3444855
Kumbe ndio maana wanaelewana, pipa na mfuniko😃The birds of a feather flock together!
😂😂😂Super glue nyingi sana