Mrs Byesige
JF-Expert Member
- Nov 5, 2019
- 2,025
- 3,969
Alafu ukute ni men🙌Kusema ukweli ni kutafuta matatizo Dr? Kizazi gani hiki tunaishi
Alafu ukute ni men🙌Kusema ukweli ni kutafuta matatizo Dr? Kizazi gani hiki tunaishi
Watafuta tu ngoja ajeHauwezi futwa,
Elimu ya mgombea wa CCM SI DHAMBI ikijadiliwa na kuhojiwa.
Unamaanisha Mwananchi akihoji Elimu ya mgombea wa CCM jukwaani,Watafuta tu ngoja aje
Ninasikitika sana kuona mtu anakua muoga kwenye kusema ukweli ama kupambania haki yake eti tuu kwa sababu ya nguvu ya opponent wake...Alafu ukute ni men🙌
Wanakuja kufuta mkuu ngoja ajeUnamaanisha Mwananchi akihoji Elimu ya mgombea wa CCM jukwaani,
Atashughulikiwa?
Aibu gani? Hali ikoje?
Haiwezi kufutwa. kwani ana vyeti fake?Hii itafutwa believe me
Mara ya mwisho kufuatilia siasa,katiba ilisema rais lazima awe na degree au equivalentHivi unaijua elimu ya Rais Samia kwa mtaala wa Tanzania?
Hivi mnajua kuwa kidato cha nne hakufanya vizuri?
Hivi mnajua huyu ndiye Rais wetu na hii ndiyo level yake ya elimu?
Baada ya hapo akaenda chuo kikuu cha mzumbe kusomea diploma ya utumishi wa umma.
Soma pia: Polepole: Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali
View attachment 3444855
hii nchi tunazingatia cheti cha kidato cha nne kwa sana,Kwa mfano mtu akipata 1 Olevel au Two halafu Six akapiga 4 au zero una m-define vipi huyu mtu.
Nani anaiba na onyesha huo wizi.Mbaya nchi inajiendea kila mtu anaiba kwa urefu wa kamba yake. Aibu mtu kutokuwa na Elimu iliyonyooka
Equivalent ni aina mpya ya gundi kama super glue?Mara ya mwisho kufuatilia siasa,katiba ilisema rais lazima awe na degree au equivalent
Sababu elimu huna ndiyo maana hujui equivalent ya degree ni niniEquivalent ni aina mpya ya gundi kama super glue?
Nilikwambia,Nani anaiba na onyesha huo wizi
Unanilipa bei gani?Andika bilioni moja kwa tarakimu haraka,
Nasubiri.
Huyo ni kichwa kilichoenda kupotezwa maboya form Six hana tofauti na aliefaulu six kwa ufaulu wa 1 au 2 kisha akaenda kulamba disco ChuoniKwa mfano mtu akipata 1 Olevel au Two halafu Six akapiga 4 au zero una m-define vipi huyu mtu.
Kwani wasomi wameisha Hadi tuongozwe na form four failule?Sababu elimu huna ndiyo maana hujui equivalent ya degree ni nini
Form four failure anafanyaje post-graduate manchester university?.. anafanyaje advanced diploma IDM mzumbe?!..unajua hata maana ya kufeli?Kwani wasomi wameusha Hadi tuongozwe na form four failule?
Elimu ya hapa na paleHivi unaijua elimu ya Rais Samia kwa mtaala wa Tanzania?
Hivi mnajua kuwa kidato cha nne hakufanya vizuri?
Hivi mnajua huyu ndiye Rais wetu na hii ndiyo level yake ya elimu?
Baada ya hapo akaenda chuo kikuu cha mzumbe kusomea diploma ya utumishi wa umma.
Soma pia: Polepole: Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali
View attachment 3444855