Hebu tujikumbushe kidogo elimu ya mgombea urais wa CCM

Hebu tujikumbushe kidogo elimu ya mgombea urais wa CCM

Kuunga unga hapa na pale kukamilisha lengo 🙂
Elimu yake imepita misingi yote ya Elimu huwezi kusema ameunga wewe mlamikie kwenye Mambo mengine ya uongozi wake ila sio kwenye Elimu
 
wewe mama yako ana elimu kiasi gani?

Mama ana degree na masters huyo, mwacheni Mama Samia.

MAMA SAMIA 2025-2030

HUTAKI HAMIA BURUNDI
Mama yake mleta mada ye hagombei urais, sa100 anagombea urais...acha kujitoa ufahamu we chawa!
 
Form four failure anafanyaje post-graduate manchester university?.. anafanyaje advanced diploma IDM mzumbe?!..unajua hata maana ya kufeli?
Alisoma kwa njia ya posta enzi hizo Open University haipo.
 
Back
Top Bottom