Hebu tujikumbushe kidogo elimu ya mgombea urais wa CCM

Hebu tujikumbushe kidogo elimu ya mgombea urais wa CCM

Mhh lkn mbona huyu amekua wa hovyoless kukiko wenzake walio kua wamesoma.

Hivi ushawai kumuona katika mahojiano ya live, Utatamani hata ukane kua ww sio mtz.

ELIMU ina umuhimu wake, Japo Mwenye elimu anaweza amua kutumia au kutotumia elimu yake
Uongozi ni wito,hekima,utulivu,uvumilivu,mashauriano.
Ukasema uongozi ni ma degree,unakosea sana maana wapo wenye madegree lakini ni wa hovyo kweli kweli.
 
Kama ni hivyo tutafite namna ya kuondoa uwezo wa "kuchukua" ndo jambo la muhimu zaidi
Hiyo namna ni lazima na yeye aikubaki kikatiba na asaini. Hiyo namna unadhani atakubali?
 
  • Thanks
Reactions: Lax
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ni mpango wa mungu kuliponya Taifa kwasasa tunaogelea kwenye mafanikio yako asante.

1 Utalii umekuwa pakubwa chini yako Uduma za Afya zimeboleshwa sana ikiwemo kuongeza vituo vya Afya na mashine muhimu za Afya asante kiongoz wetu

chini ya miaka yake 4 tu vituo vya VETA umeviongeza vipya 25 ki ujumla kila Sekta umezifikia ni Ajabu ya Mungu !!

kiasi wanaCCM mwanzo atukujua uwezo wako kumbe ni mtendaji mkubwa kwa hakika CCM ni mpango wa mungu !!

October tunajazana vituoni kutiki ✅️

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN tunakuitaji kwa miaka mingine M5. Tunasimama nawewe iwe jua iwe mvua !!

wanaokupinga wachache sana wenyewe wamechagua kuugua kwa wivu 🤔🤔 wana CCM tuwaombee wasife alaka ili waugue muda mrefu kiongoz wetu alijua watatokea watu kama wao watajitia upofu wa kile RAIS SAMIA anakifanya kwaajili ya maendeleo yetu!!

ndiomana kwa kuwapenda pia kawaboleshea upande wa vituo vya Afya ivyo endeleeni kuugua ndugu zetu😫😫

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN umeweka tayari history chini ya Uwenyekiti wako CCM kuwa na wagombea wengi yani watia nia ndani ya CCM hii inatoa picha watu wanaimani kubwa na uongozi wako ndani ya CCM Asante Mama..

Bila Shaka kwatasmini ya alaka wana CCM na Watanzania wengi tunaimani kubwa kwako !!

Na unaenda weka history mpya kwa kuchaguliwa na wengi Zaid tangu tupate Uhuru wetu.

October tunajazana kwenda kutiki✅️
 
MTU aweza kukosa elimu ya darasani lkn Innate quality ikawa nguzo ya matumaini kwa jamii.

Elimu kubwa bila ustaarabu haifai
 
MTU aweza kukosa elimu ya darasani lkn Innate quality ikawa nguzo ya matumaini kwa jamii.

Elimu kubwa bila ustaarabu haifai
Kwa maelezo yako, wa kwetu unamweka kwenye kundi gani kati?

Wa kwetu angekuwa amekosa ya darasani lakini angekuwa na maono na upeo bila akili za kushikiwa leo tusingeoji kuhusu elimu yake hadi tumefikia kuhoji maana yake kuna tatizo.
 
Elimu yake na uongozi wake vinaendana.
Mbona na hapo Mzumbe kama napo alifeli, au...!!

Maana kama alifaulu hapo Mzumbe ktk utumishi wa Umma na ivi ndo ana apply alichotoka nacho hapo basi kuna tatizo pahala....
 
Kwa maelezo yako, wa kwetu unamweka kwenye kundi gani kati?

Wa kwetu angekuwa amekosa ya darasani lakini angekuwa na maono na upeo bila akili za kushikiwa leo tusingeoji kuhusu elimu yake hadi tumefikia kuhoji maana yake kuna tatizo.
Mimi naishi kijijini Kanyonza - Kakonko. Hapa wengi wa raia wana Elimu ndogo lkn ni wema kwa maamuzi na matendo yao.

Nachosema ni kuwa Elimu tu haiwezi kuwa nguzo ya kupata kiongozi miongoni mwetu. Kitu muhimu sana kwa mtu ni ustaarabu.
  • CDM mbn yupo Prof Baregu lkn hajapendekezwa kuwania u-Rais?
  • CCM wapo akina Prof Mkenda lkn hawajapendekezwa kuwania u-Rais?

Yako yanapaswa kuangaliwa tunapohitaji kiongozi
 
Hivi unaijua elimu ya Rais Samia kwa mtaala wa Tanzania?
Hivi mnajua kuwa kidato cha nne hakufanya vizuri?
Hivi mnajua huyu ndiye Rais wetu na hii ndiyo level yake ya elimu?
Baada ya hapo akaenda chuo kikuu cha mzumbe kusomea diploma ya utumishi wa umma.

Soma pia: Polepole: Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali

View attachment 3444855
Kuwa na elimu sana sio kufanikisha mambo,elimu inachakaza ubongo soma kidogo tu kwa matokeo makubwa
 
Mimi naishi kijijini Kanyonza - Kakonko. Hapa wengi wa raia wana Elimu ndogo lkn ni wema kwa maamuzi na matendo yao.

Nachosema ni kuwa Elimu tu haiwezi kuwa nguzo ya kupata kiongozi miongoni mwetu. Kitu muhimu sana kwa mtu ni ustaarabu.
  • CDM mbn yupo Prof Baregu lkn hajapendekezwa kuwania u-Rais?
  • CCM wapo akina Prof Mkenda lkn hawajapendekezwa kuwania u-Rais?

Yako yanapaswa kuangaliwa tunapohitaji kiongozi
Nashukuru kwa kuniambia mahala unapoishi, wape salam ndugu na jamaa hapo Kakonko.

Ila ujajibu swali langu
 
Back
Top Bottom