Hebu tujikumbushe kidogo elimu ya mgombea urais wa CCM

Hebu tujikumbushe kidogo elimu ya mgombea urais wa CCM

Nchi hii kwa mfumo wetu wa Elimu, kama hukusona Form six, ukapata degree,

Hiyo SI Elimu rasmi.

Sasa kwa kuomba Nafasi nyeti, ni muhimu kukaa Pembeni ukawaacha wenye vigezo.
Kama ingekuwa sio rasmi wasingekuwa wanaajiriwa serikalini hivi unajua mtu akiwa na diploma na yule aliyemaliza form 6 kwenye soko la ajira anayezingatiwa ni yule mwenye diploma zaidi
 
Huyu mama alianza vizuri sn 2021 kosa lake kubwa ni kumkaribisha Kikwete. Hapo ndiyo aliharibu kabisa na mambo yakaanza kwenda kombo
Amkaribishe vipi wakati yeye ndio alikaribishwa!!!!

Lile sekeseke la wale wazee wengine kuhusu urithi, bila wazee kama bagamoyo, Tonge lingempitia mdomoni mchana kweupeee.
 
Mnaingia wenyewe kwenye 18… kesho mnalalamika oooh nimeingizwa Chupa sijui nimefanyajwe.
Niko kosa kuzungumzia Elimu ya mtu mlie muajili ni kosa kisheria kama ni kosa weka kifungu tuone tusije kua tuna vunja Sheria
 
Ndio nasemaje,

Nafasi hiyo ni nyeti,

Tunataka wenye Elimu straight SI ya kuunga unga na super glue,

Nia ni njema tupate matokeo Bora, nadhani unaona rushwa ilivyokithiri,na haikemewi, madeni yanazidi ,mikopo italipika vipi ikiwa tunakopa zinakuja kuibwa na hawawajibishwi?

Hayo ni matokeo ya UWEZO mdogo kielimu.

Tushuke kumwaga oil, tupate mgombea mwenye capacity.
Huwezi kusema elimu ya kuunga wakati inafuata mifumo yote ya Elimu ukishamaliza form iv options zinakuwa mbili either uende form five au kiwango chako kidogo kitakufanya uende certificate unatengenezwa vizuri ukishatoka hapo unaingia diploma baada ya hapo Sasa unakuwa qualified kuingia degree au Bachelor kwahiyo mkuu huo ndio mpangilio wa Elimu so hapo hakuna njia za panya
 
Halafu yeye na mwenzie ndio walipata udokta wa ofa
Unaweza kumsema lakini sio kubeza Elimu kwa nchi zetu za kiafrica Elimu yetu hazitusaidii na ndio maana unaona hata yule PhD holder anagonbania kuajiriwa Hana kitu chakuoffer kwenye jamii
 
Ameimba Banza Stone (RIP)
🎶elimu ya mjinga ni majungu,Bora ukose mali kuliko kukosa akili kwani elimu ni bahari haina mwisho🎶
 
Unaweza kumsema lakini sio kubeza Elimu kwa nchi zetu za kiafrica Elimu yetu hazitusaidii na ndio maana unaona hata yule PhD holder anagonbania kuajiriwa Hana kitu chakuoffer kwenye jamii
PhD holder anagombania kuajiriwa wap? Au kwenye siasa?
 
mkuu si hapo kajisemea mwenyewe alifeli na hakusoma sana failure wa form 4 ni Lasaba B
Kwa Elimu yetu ilivyo form 6 unaenda kupoteza muda, Soko letu la ajira wanaangalia cheti cha form iv, certificate, diploma na degree n.k. Ukimsikia vizuri hakupata from IV zero Bali alipata iv ambayo haikumwezesha kwenda form 5&6 na kwa Elimu yetu inakupa access ya kwenda certificate ukitoka hapo unaenda diploma baada hapo unakuwa qualified kwenda degree ndio kitu ambacho Mama kakifanya kwa maana amefuata process nzima ya mfumo wa Elimu so huwezi kusema amepita njia za panya
 
Kweli kab

Mfumo wa elimu wa Taifa wa kiboya. Wasomi wanakariri tu na hawaelewi. Sio LAZMA kwenda form 5 ni kupoteza tu muda. Mwanangu alipata 1.7 nikamwambia usipoteze muda kwenda five.
Mtu aliefeli ni mtu aliepata ziro na hua hapewi cheti. Degree ni hiyohiyo...kuungaunga ni misemo yenu
We umeongea facts wampinge mama kwenye Mambo mengine ila sio kwenye Elimu hata ukija kwenye soko la ajira kijana mwenye diploma na yule aliyemaliza form 6 anayeajiriwa ni yule mwenye diploma
 
Kwani alienda certificate na alienda form five, degree zao Zina TOFAUT Gani?? Vyeti vinatofautiana??
Hata Mimi huwa nashangaa sijui huwa wanapingana na Nini as if Kama hawaishi Tanzania wampinge mama kwenye Mambo mengine ila sio kuhusu Elimu
 
Back
Top Bottom