Hebu tujikumbushe kidogo elimu ya mgombea urais wa CCM

Hebu tujikumbushe kidogo elimu ya mgombea urais wa CCM

Nchi hii kwa mfumo wetu wa Elimu, kama hukusona Form six, ukapata degree,

Hiyo SI Elimu rasmi.

Sasa kwa kuomba Nafasi nyeti, ni muhimu kukaa Pembeni ukawaacha wenye vigezo.
Hivi hata kufikiri unafikiri, yaani upite certificate, diploma, degree halafu useme siyo elimu rasmi?.. unajua maana ya rasmi?..una kiwango gani cha elimu wewe?
 
Hivi hata kufikiri unafikiri, yaani upite certificate, diploma, degree halafu useme siyo elimu rasmi?.. unajua maana ya rasmi?..una kiwango gani cha elimu wewe?
Diploma ni diploma,

Sasa kusema Diploma inaweza kuwa Equivalent to degree ndio chenga zenyewe.

By the way ukifail form four, utatumia vigezo vipi kwenda diploma ikiwa ulitaga kabisa olevel
 
Mbona unahangaika sana kuwa makini kisukari kitakuua.

Sisi Mgombea tunaye na tunatamba naye ndo maana tunasema
KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE
OCTOBER TUNATIKI✅
 
Diploma ni diploma,

Sasa kusema Diploma inaweza kuwa Equivalent to degree ndio chenga
Kuna tofauti ya diploma na advanced diploma, advanced diploma nchi hii wakihesabika elimu ya juu na wakipata mikopo
zenyewe.

By the way ukifail form four, itatimia vigezo vipi kwenda diploma ikiwa ulitaga kabisa olevel
Si unaona ulivyo mpumbavu!!.. huwezi toka form four kwenda diploma nchi hii,ukitoka form four unaenda certificate
 
Kuna tofauti ya diploma na advanced diploma, advanced diploma nchi hii wakihesabika elimu ya juu na wakipata mikopo

Si unaona ulivyo mpumbavu!!.. huwezi toka form four kwenda diploma nchi hii,ukitoka form four unaenda certificate
Ndio nasemaje,

Nafasi hiyo ni nyeti,

Tunataka wenye Elimu straight SI ya kuunga unga na super glue,

Nia ni njema tupate matokeo Bora, nadhani unaona rushwa ilivyokithiri,na haikemewi, madeni yanazidi ,mikopo italipika vipi ikiwa tunakopa zinakuja kuibwa na hawawajibishwi?

Hayo ni matokeo ya UWEZO mdogo kielimu.

Tushuke kumwaga oil, tupate mgombea mwenye capacity.
 
Tuache dharau,

Polisi tuwaajiri na form four failule,

Pia na Nafasi nyeti namna Ile pia apenye form four failule?

chiembe ,Ritz ,Lucas mwashamba
 
Nani anaiba na onyesha huo wizi.

Hayo yangekuwepo haya maendeleo tunayoyajadilo hapa yeletwa na kamasi zako?
Sperms zangu zingekuletea. Maendeleo unayozungumzia sijaona. Ni haya ya kila mtu kuiba awezavyo? Ukilaza ndo tatizo. Kodi kwa matajiri hakusanyi anasema hawabinyi sana. Anawabana maskini kwa tozo na kodi kubwa kuwafaidisha matajiri. Sisi tulio nje ya nchi tunajua madudu mengi ya hovyo sababu ya ukilaza wa kiongozi.
 
Ndio nasemaje,

Nafasi hiyo ni nyeti,

Tunataka wenye Elimu straight SI ya kuunga unga na super glue,
Elimu straight ndiyo ikoje we maamuma!?
Nia ni njema tupate matokeo Bora, nadhani unaona rushwa ilivyokithiri,na haikemewi, madeni yanazidi ,mikopo italipika vipi ikiwa tunakopa zinakuja kuibwa na hawawajibishwi?

Hayo ni matokeo ya UWEZO mdogo kielimu.

Tushuke kumwaga oil, tupate mgombea mwenye capacity.
Wewe mbumbumbu,rais gani kipindi chake hapakua na rushwa,mikopo?..wakopeshaji hawakukopeshi kama huna uwezo wa kulipa
 
Back
Top Bottom